Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

Uzi wa kichochezi na haina hata picha yenye kuonesha hayo Machozi japo ya AI tu.
 
Mbona hujaweka clip ikimuonesha lissu machoz yakimlengalenga?
 
Halafu nilivyomuona kapungua kilo kadhaa.
 
Atachambia wembe mwaka huu!!!
 
Unaota ndoto za mchana.
Lisu acha afurahie chama kusukwa upya.
Chama ni mali ya wanachama kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…