Maskini Pacome. Kweli kuimba kupokezana. "Kama Simba hawataki Kuguswa wakacheze karata" Pacome leo kaguswa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Kuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu.

Leo imetokea. Faulo ambayo imempata Pacome. Inaumiza sana. Nahisi huu mguu utakuwa umevunjika. Sijui wataalamu watasemaje. Last week kuna wachezaji walikuwa wanawachezea fouls mbaya sana Mikia.

Nliuliza nikaambiwa ni maandalizi na match ya Azam. Nliuliza nikaambiwa pia kama Simba wanataka wasiguswe wakacheze Karata. Leo yamekuja upande wetu. Kama hili tukio ni kweli si chini ya miezi Mitatu Pacome atakuwa juu ya Mawe.

View attachment 3619125
Soka la Tanzania ni la kichawi, uadui na uhasama
 
.Kuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu.

Leo imetokea. Faulo ambayo imempata Pacome. Inaumiza sana. Nahisi huu mguu utakuwa umevunjika. Sijui wataalamu watasemaje. Last week kuna wachezaji walikuwa wanawachezea fouls mbaya sana Mikia.

Nliuliza nikaambiwa ni maandalizi na match ya Azam. Nliuliza nikaambiwa pia kama Simba wanataka wasiguswe wakacheze Karata. Leo yamekuja upande wetu. Kama hili tukio ni kweli si chini ya miezi Mitatu Pacome atakuwa juu ya Mawe.

View attachment 3619125
Hamna hamna hapo miezi 6. Pole yake kwa kweli
 
Washabiki wengi akili zao kama zimepungua, wakati wachezaji wa Simba wakichezewa rafu za makusudu upande wa pili walikuwa wakiwakebehi sasa leo imewakuta.
Kuna tukio Hamis Tambwe akiwa Simba alikuwa akichezewa rafu za ovyo na beki wa Jkt upande wa pili ulikuwa ukifurahia,msimu uliofuata akahamia yanga beki huyohuyo akawa anamchezea rafu za ovyo wale waliokuwa wakifurahia wakaanza kupiga kelele.
Tukio jingine ni zile rafu alizofanyiwa Phiri na mchezaji wa Kagera Sugar mpaka zikaathiri uwezo wake .
Tukiendelea kuchekelea kisa mchezaji aliyefanyiwa siyo wa timu yako haya ndio matokeo yake.
 
Daluga ndogo sana hiyo
Imeukuta mguu kwenye movement ya kunyanyuka.
Ingeukuta kama planting foot ngumi zingepigwa
Naandika Kishabiki mno
 
Sijaangalia hiyo video but soka is a contact sport kuumia kupo. Last week player wa Canada world cup kavunjika vibaya kwa faulo iliyoonekana ya kawaida tu.

Musiala, Merino, VVD na players wengine wamewahi kuumia vibaya kazini. So long as mpira is a contact sport majeraha lazima yawepo. Akipatiwa matibabu mazuri atarudi tu.
 
Washabiki wengi akili zao kama zimepungua, wakati wachezaji wa Simba wakichezewa rafu za makusudu upande wa pili walikuwa wakiwakebehi sasa leo imewakuta.
Kuna tukio Hamis Tambwe akiwa Simba alikuwa akichezewa rafu za ovyo na beki wa Jkt upande wa pili ulikuwa ukifurahia,msimu uliofuata akahamia yanga beki huyohuyo akawa anamchezea rafu za ovyo wale waliokuwa wakifurahia wakaanza kupiga kelele.
Tukio jingine ni zile rafu alizofanyiwa Phiri na mchezaji wa Kagera Sugar mpaka zikaathiri uwezo wake .
Tukiendelea kuchekelea kisa mchezaji aliyefanyiwa siyo wa timu yako haya ndio matokeo yake.
Hakika mkuu. Mimi huwa naamini mchezo huu ni wa kiungwana ila watu wanaamua kuuharibu.

Wachezaji wao kwa wao wacheze kwa kulindana. Ukicheza game isiyo ya kiungwana unaaffect careers za wenzako.
 
Sijaangalia hiyo video but soka is a contact sport kuumia kupo. Last week player wa Canada world cup kavunjika vibaya kwa faulo iliyoonekana ya kawaida tu.

Musiala, Merino, VVD na players wengine wamewahi kuumia vibaya kazini. So long as mpira is a contact sport majeraha lazima yawepo. Akipatiwa matibabu mazuri atarudi tu.
Let's hope so
 
Back
Top Bottom