CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Asipotibiwa Ulaya hapo Kwisha habari yake.
humjui tu yule jamaa ila kwa wanaongalia game za nbc, ana michezo ya rough mbaya sana. Inawezekana hakudhani kama angemvunja vibaya hivyo ila with those kinds of rough plays, kumvunja mtu sio jambo la kushangazaMfanya faulo naamini hakutegemea kama atamvunja mguu.Alijua tu atamwangusha lakini ikawa tofauti
kuna bahati mbaya katika mchezo wa soka! Tukio la kuvunjwa mguu kwa pacome, si la kwanza wala la mwisho kutokea duniani. mchezo wa mpira wa miguu kuna migusano sio mchezo wa maroboti kwamba hayagusani, na mchezaji huwa anaingia uwanjani kuipambania timu yake. Mchezo wa mpira wa miguu unahusisha miguu,so,pole yake sana jamaa yangu PPZ FUNDI WA BALL.Washabiki wengi akili zao kama zimepungua, wakati wachezaji wa Simba wakichezewa rafu za makusudu upande wa pili walikuwa wakiwakebehi sasa leo imewakuta.
Kuna tukio Hamis Tambwe akiwa Simba alikuwa akichezewa rafu za ovyo na beki wa Jkt upande wa pili ulikuwa ukifurahia,msimu uliofuata akahamia yanga beki huyohuyo akawa anamchezea rafu za ovyo wale waliokuwa wakifurahia wakaanza kupiga kelele.
Tukio jingine ni zile rafu alizofanyiwa Phiri na mchezaji wa Kagera Sugar mpaka zikaathiri uwezo wake .
Tukiendelea kuchekelea kisa mchezaji aliyefanyiwa siyo wa timu yako haya ndio matokeo yake.
amewahi kuvunja wangapi Kama si bahati mbaya tu ya leo?humjui tu yule jamaa ila kwa wanaongalia game za nbc, ana michezo ya rough mbaya sana. Inawezekana hakudhani kama angemvunja vibaya hivyo ila with those kinds of rough plays, kumvunja mtu sio jambo la kushangaza
kumbe huna akili baba eti?amewahi kuvunja wangapi Kama si bahati mbaya tu ya leo?
Hii ishu simba washailalamikia sana humu walionekana wapuuzi
Labda....amewahi kuvunja wangapi Kama si bahati mbaya tu ya leo?
Anapelekwa South Africa...wengine wameshauri apelekwe Morroco Kuna wataalam haswa hukoAsipotibiwa Ulaya hapo Kwisha habari yake.
We ni kiazi mpira ni mchezo wa nguvuMakusudi hiyo,michezaji inatumia nguvu nyingi akili kidogo na kukamiana kwa kipumbavu
Limbwata la CCM ni upumbavu wa raia wakeNDO LINAWASAIDIA CCM KUBAKI MADARAKANI.
Huu ndio tunaitaujuaji, wewe ndo umedhihirisha kabisa kuwa HUJUI mpira. Hata refa alipotazama aliona ni rafu ya makusudi kabisa. Huwezi kufanya tackling kwa kumuingilia mtu kwa nyuma.watu ni either hamjui mpira au mmeweka mahaba ya timu mbele
Hiyo foul ukisema jamaa amekusudia kumuumiza pacome utakuwa mwongo kwa sababu it's clearly alikuwa anataka kucheza mpira or kufanya tackling block ambayo bahati mbaya imekutana na mguu wa pacome ukiwa kwenye movement
Heshima yako mkuu uzima upo?Soka la Tanzania ni la kichawi, uadui na uhasama
Kama Mzize hajapona. Hadi Leo huyu mmmhAnapelekwa South Africa...wengine wameshauri apelekwe Morroco Kuna wataalam haswa huko
Refa ndo punguani kabisa. Aliyecheza foul alikuwa ndo beki wa mwisho hivyo ilistahili kuwa kadi nyekundu moja kwa moja hata kama Pacome asingevunjika, ila ye akatoa ya njano kwanza.Huu ndio tunaitaujuaji, wewe ndo umedhihirisha kabisa kuwa HUJUI mpira. Hata refa alipotazama aliona ni rafu ya makusudi kabisa. Huwezi kufanya tackling kwa kumuingilia mtu kwa nyuma.
Hata mimi nilishangaa pia pale.Refa ndo punguani kabisa. Aliyecheza foul alikuwa ndo beki wa mwisho hivyo ilistahili kuwa kadi nyekundu moja kwa moja hata kama Pacome asingevunjika, ila ye akatoa ya njano kwanza.
Angehojiwa si ajabu angesema alikuwa anataka kubalance mchezo hahaHata mimi nilishangaa pia pale.