Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Soka la Tanzania ni la kichawi, uadui na uhasamaKuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu.
Leo imetokea. Faulo ambayo imempata Pacome. Inaumiza sana. Nahisi huu mguu utakuwa umevunjika. Sijui wataalamu watasemaje. Last week kuna wachezaji walikuwa wanawachezea fouls mbaya sana Mikia.
Nliuliza nikaambiwa ni maandalizi na match ya Azam. Nliuliza nikaambiwa pia kama Simba wanataka wasiguswe wakacheze Karata. Leo yamekuja upande wetu. Kama hili tukio ni kweli si chini ya miezi Mitatu Pacome atakuwa juu ya Mawe.
View attachment 3619125
Hamna hamna hapo miezi 6. Pole yake kwa kweli.Kuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu.
Leo imetokea. Faulo ambayo imempata Pacome. Inaumiza sana. Nahisi huu mguu utakuwa umevunjika. Sijui wataalamu watasemaje. Last week kuna wachezaji walikuwa wanawachezea fouls mbaya sana Mikia.
Nliuliza nikaambiwa ni maandalizi na match ya Azam. Nliuliza nikaambiwa pia kama Simba wanataka wasiguswe wakacheze Karata. Leo yamekuja upande wetu. Kama hili tukio ni kweli si chini ya miezi Mitatu Pacome atakuwa juu ya Mawe.
View attachment 3619125
Mfanya faulo naamini hakutegemea kama atamvunja mguu.Alijua tu atamwangusha lakini ikawa tofautiSisi waafrika hatuendelei kwa mambo ya kipuuzi kama haya. Sasa kumuumiza hivyo mwenzako kazini unapata faida gani?
Makusudi hiyo,michezaji inatumia nguvu nyingi akili kidogo na kukamiana kwa kipumbavuMfanya faulo naamini hakutegemea kama atamvunja mguu.Alijua tu atamwangusha lakini ikawa tofauti
faul ya makusudi kabisa ile.Mfanya faulo naamini hakutegemea kama atamvunja mguu.Alijua tu atamwangusha lakini ikawa tofauti
Hii ishu simba washailalamikia sana humu walionekana wapuuzi
Hakika mkuu. Mimi huwa naamini mchezo huu ni wa kiungwana ila watu wanaamua kuuharibu.Washabiki wengi akili zao kama zimepungua, wakati wachezaji wa Simba wakichezewa rafu za makusudu upande wa pili walikuwa wakiwakebehi sasa leo imewakuta.
Kuna tukio Hamis Tambwe akiwa Simba alikuwa akichezewa rafu za ovyo na beki wa Jkt upande wa pili ulikuwa ukifurahia,msimu uliofuata akahamia yanga beki huyohuyo akawa anamchezea rafu za ovyo wale waliokuwa wakifurahia wakaanza kupiga kelele.
Tukio jingine ni zile rafu alizofanyiwa Phiri na mchezaji wa Kagera Sugar mpaka zikaathiri uwezo wake .
Tukiendelea kuchekelea kisa mchezaji aliyefanyiwa siyo wa timu yako haya ndio matokeo yake.
Let's hope soSijaangalia hiyo video but soka is a contact sport kuumia kupo. Last week player wa Canada world cup kavunjika vibaya kwa faulo iliyoonekana ya kawaida tu.
Musiala, Merino, VVD na players wengine wamewahi kuumia vibaya kazini. So long as mpira is a contact sport majeraha lazima yawepo. Akipatiwa matibabu mazuri atarudi tu.