Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.