Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Ila nyepesi kwa MoroccoGame ngumu sana hii kwa France
Ila nyepesi kwa MoroccoGame ngumu sana hii kwa France
Ushabiki si burudani tu mkuu...Niache kushabikia morocco nishabikie ufaransa! Kweli!!! Mbona haimake sense mzee baba!
Swali dogo tu!
France × senegal utashabikia nani hapo??
Uko sahihi mkuu ila me nimeuliza tu!.. ETI wadau?Msipende kufuata mkumbo bila kujiridhisha, wewe naamini umesoma unaweza pia ukagoogle ukamtafuta alie ongea ukajiridhisha...
Hili sasa ataliongelea black panther ndo analifahamu vizuri amekaa nao sana
👆Rais wa TFF ya Morocco jana alisema hawahitaji sapoti ya Africa kutimiza malengo yao. Sasa wewe endelea kujibebisha tuu kwa waarabu watakugeuza nnya.
Kiko wapi ?Leo kaa hapa utakuja nishukuru. Kuna wahuni huwa wananifelisha sababu ya kubet wanajifungisha ili wapige pesa. Sasa Morocco hawatofanya huo uhuni maana hawabet
Nahujumiwa sana aiseeeAmka morocco ameshakula chuma 2
Haya matimu yenu ya Msimbazi na Jangwani mbona yanatangaza kamari kwa nguvu zote!? Au kamari sio haraam!?Kila la kheri SIMBA WA ATLAS 🇲🇦
Nnajua wapo wanaosapoti ufaransa bila kujali ufirauni unaofanyika katika ardhi yao likiwemo la USHOGA, lakini bado kuna watu wameshikilia hapo hapo kumsapoti ufaransa...na kutoisapoti morocco kisa wale ni waarabu na ni..... na waarabu kama mnavyojua wanachukiwa sana na baadhi ya watu weusi.
Mimi kama B Panther niko upande wa Waafrika wenzetu MOROCCO 🇲🇦
Siku nyingine usubiri likauke sawasawa kabla ya kulisokotaHali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.
Kwenye ile mechi ya Simba na Azam ulileta utabiri wako uchwara, na uzi ukaukimbia wala hata update ya matokeo hukutoa! Huu uzi wako nao umeumbuka tena, eti Mpabe goli hataliona...mwishowe kawaweka!Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.
Mjomba, kuna nafasi bado ziko wazi Uswisi na Ubelgiji. Hamia huko nako ukajaribu bahati yako.Nahujumiwa sana aiseee
Bro unadhani Mpira NI ngonjera au mipasho,Mpira NI uwezo braza
Nahujumiwa sana aiseee. Ile mifaransa mapumziko ilienda paka mafuta ya kitimoto.Kwenye ile mechi ya Simba na Azam ulileta utabiri wako uchwara, na uzi ukaukimbia wala hata update ya matokeo hukutoa! Huu uzi wako nao umeumbuka tena, eti Mpabe goli hataliona...mwishowe kawaweka!
Wewe mambo ya mpira huyajui, tabiri zako uchwara katabirie wanywa visungura tu.
Nahujumiwa sana aiseee. Ile mifaransa mapumziko ilienda paka mafuta ya kitimoto.Mjomba, kuna nafasi bado ziko wazi Uswisi na Ubelgiji. Hamia huko nako ukajaribu bahati yako.
Ikawaje😅Sawaa, si umeamua kuwa upande huo... acha tushabikie wanaume wa kazi akiwemo na bolozi wetu Hakimi 😄
Kweli kabisa sheikh adriz