Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hadithi yako inatufundisha nini?Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.
Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.
Upumbavu mtupu huu wala siyo utabiriHali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.
Kila la kheri The Lions of AfrikaHali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France wamenyong'onyeshwa sana kwa kweli.
Wamevurugwa. Mbape goal hatoliona leo. Na mlangoni ameenda simama Subhian mwenyewe kisha watoto wake wawili watawavaa wachezaji wawili wa Morocco. Kabumbu litakalopigwa si la Dunia hii. Lazima Afrika ijitangaze leo na iwaoneshe inaweza.
Ni kujipanga kwa Nusu Final na pia Final yenyewe. Ubingwa SAFARI HII KWA MARA YA KWANZA INATAKIWA TEAM TOKA AFRIKA. NA ITAKUWA MOROCCO. LILE TUKIO LA KUKOSA UBINGWA WA AFRICA UWANJANI LIMEKUWA NA DOA SANA. Huu wa kupewa mezani kwa kweli umekuwa hauna nguvu.
Sasa ufirauni wao unahusiana nini na ushabiki wetu dhidi ya timu ya ufaransa?Kila la kheri SIMBA WA ATLAS 🇲🇦
Nnajua wapo wanaosapoti ufaransa bila kujali ufirauni unaofanyika katika ardhi yao likiwemo la USHOGA, lakini bado kuna watu wameshikilia hapo hapo kumsapoti ufaransa...na kutoisapoti morocco kisa wale ni waarabu na ni..... na waarabu kama mnavyojua ndugu zangu wanachukiwa sana na baadhi ya watu weusi.
Mimi kama B Panther niko upande wa Waafrika wenzetu MOROCCO 🇲🇦
Leo mtapigwa mpka mchakae na ubaguzi wenu.Kila la kheri SIMBA WA ATLAS 🇲🇦
Nnajua wapo wanaosapoti ufaransa bila kujali ufirauni unaofanyika katika ardhi yao likiwemo la USHOGA, lakini bado kuna watu wameshikilia hapo hapo kumsapoti ufaransa...na kutoisapoti morocco kisa wale ni waarabu na ni..... na waarabu kama mnavyojua ndugu zangu wanachukiwa sana na baadhi ya watu weusi.
Mimi kama B Panther niko upande wa Waafrika wenzetu MOROCCO 🇲🇦
Waziri wao wa michezo pia amesema mafanikio ya Morocco ni ya Wamorocco na siyo Afrika! Kwa hiyo wanaojipendekeza wote wanatakiwa wajitathmini.Rais wa TFF ya Morocco jana alisema hawahitaji sapoti ya Africa kutimiza malengo yao. Sasa wewe endelea kujibebisha tuu kwa waarabu watakugeuza nnya.
Kila la kheri SIMBA WA ATLAS 🇲🇦
Nnajua wapo wanaosapoti ufaransa bila kujali ufirauni unaofanyika katika ardhi yao likiwemo la USHOGA, lakini bado kuna watu wameshikilia hapo hapo kumsapoti ufaransa...na kutoisapoti morocco kisa wale ni waarabu na ni..... na waarabu kama mnavyojua ndugu zangu wanachukiwa sana na baadhi ya watu weusi.
Mimi kama B Panther niko upande wa Waafrika wenzetu MOROCCO 🇲🇦
Rais wa TFF ya Morocco jana alisema hawahitaji sapoti ya Africa kutimiza malengo yao. Sasa wewe endelea kujibebisha tuu kwa waarabu watakugeuza nnya.
Itakuwa umepata danga la kiarabu, sio kwa shobo hizi kwa morokoHali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.