Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

Hili sasa ataliongelea black panther ndo analifahamu vizuri amekaa nao sana

Huyu alie kuquote ameamua kutosema ukweli sijajua lengo lake haswaa, ili waarabu waendelee kuchukiwa... ingia TRT au Manara utaona mwenyewe kilichozungumzwa na rais wa mpira, morocco...

Unajua nini kamanda, mtu akishakua na chuki na mtu au watu flani basi mtu huyo tegemea hata taarifa zake au comment zake zinakua za shari/vise versa, anaacha mazuri yaliyosemwa na kupeleka mabaya.... inshort ni aibu mwanaume mzima kuwa na tabia hizi....
Rais wa TFF ya Morocco jana alisema hawahitaji sapoti ya Africa kutimiza malengo yao. Sasa wewe endelea kujibebisha tuu kwa waarabu watakugeuza nnya.
👆
 
Haya matimu yenu ya Msimbazi na Jangwani mbona yanatangaza kamari kwa nguvu zote!? Au kamari sio haraam!?
 
Siku nyingine usubiri likauke sawasawa kabla ya kulisokota
 
Kwenye ile mechi ya Simba na Azam ulileta utabiri wako uchwara, na uzi ukaukimbia wala hata update ya matokeo hukutoa! Huu uzi wako nao umeumbuka tena, eti Mpabe goli hataliona...mwishowe kawaweka!
Wewe mambo ya mpira huyajui, tabiri zako uchwara katabirie wanywa visungura tu.
 
Nahujumiwa sana aiseee. Ile mifaransa mapumziko ilienda paka mafuta ya kitimoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…