Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

Kuna spain na Argentina, ngoja tuone.... ila ninawasiwasi na hiyo game kama haikupangwa, labda kama hujaifuatilia morocco
Kupangwa vipi mkuu, zile goli ngumu hivyo zinapangwa vipi
 
Inaonekana ulikua umelala kwenye klabu ya wanzuki, hata hivyo pole sana. Hata mimi nilitamani Morocco washinde lkn Ufaransa walikuwa ni bora zaidi hivyo hongera zao.
 
Kupangwa vipi mkuu, zile goli ngumu hivyo zinapangwa vipi
Morocco tunayoijua vizuri sio ya kuzuia bila kufanya attack, kama umefuatilia game zake ndio utajua morocco sio ile tuijuayo. All in All hongereni wafaransa πŸ˜„
 
Mshukuruni Hugo alikua kipa mbovu , kumbe ulitaka ufaransa ipigwe ili mpate kitonga 🀣 mwisho wenu ni kw England
Hapana, acha niwe muwazi tu.....kwa Afrika mimi ni shabiki wa morocco na Algeria
 

Hakuna watu waongo kama wanaojiita wasafisha nyota, na wanaopiga ramli au kutumia shirki nyingine kuagua watu.

Imethibitishwa, dawa za kisuna haziwezi kuzuia lolote isipokuwa ni utapeli tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…