Masogange na DJ Avicii walizaliwa siku moja 1989 na wote wamekufa siku moja

Kweli hii nyumba kajenga mwanamke, sioni madirisha kwenye huu upande wa kushoto
 
Watu wengine namba za miaka hazionhezeki duuuh.
 
Nimempongeza kwa kitendo cha kumjengea baba yake nyumba. Alitumia busara sana.

RIP
 
Avicii huyu huyu aliyeimba levels mkuu
 
Yaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
nashangaa Mwanangu Nimezaa Na 28,wapili 30,watatu 32,nikimaliza Inabaki Kulea Tu
Acheni kukariri maisha nyinyi, maisha sio hisabati eti lazima utumie kanuni ya MAGAZIJUTO.

Watu tuna path tofauti, kama ulichelewa wewe kutokana na vitu fulani najua wengi ni shule, wabongo bana
 
Acheni kukariri maisha nyinyi, maisha sio hisabati eti lazima utumie kanuni ya MAGAZIJUTO.

Watu tuna path tofauti, kama ulichelewa wewe kutokana na vitu fulani najua wengi ni shule, wabongo bana
Hebu tupe hesabu basi mtu wa 1986 kumiliki mtoto wa darasa la Saba.
 
Hebu tupe hesabu basi mtu wa 1986 kumiliki mtoto wa darasa la Saba.
Wewe ni nini labda kilicho kufanya uhitimishe ulivohitimisha huku ukiwa hata hesabu hujaifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…