du!Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
hakuna uchochezi hapo.
Dogo,soma!Tena soma vitabu vyote ulivyonavyo hata magazeti hapo ndani mwako.tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Na mimi sijaelewa hapo" Wameona anameona " ndiyo nn hii
ThibitishaKwani fani ni lazima uchore uchochezi pambaaf