serikali huwa haikosi kesi mkuu. wakikosa kabisa utakuta kuna money laundering hapo akaepo ndani kidogo afu watakuja kufuta akishanyooka.....Hakuna kesi hapo ni kupoteza muda tu, labda wampe kesi ya kuhujumu uchumi.
Kiongozi aliyepungukiwa na na akili huwaonea watu wake.Serikali hii italaaniwa na wananchi wake kwa uonevu
Huu ndio utawala watu wanauunga mkono mpaka kijiuzulu ubunge na udiwani.Hivi "UCHOCHEZI" ni sawa na "AWARENESS CREATION", kwa kiingereza? Anayejua anisaidie.
Nahisi ni ile ilimwambia Rais kuwa atafutwa akienda kuombea baada ya Rais kusema niombeeniiko wapi hiyo katuni
Nakosa hata MANENO ya kusema.....Magufuli nyoosha nchi wazalendo tunakusapoti
Ni point ila sjakuelewaKama ni kweli, uchochezi hapo ni yeye kukamatwa na si vinginevyo!