Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Wewe una mawazo machache sana hotokaa uendelee daima uchawi sio lazima tunguri
 
Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!
Wivu huo
 
Mbona na Mimi namiliki Bajaji haunitengenezei Threads yangu ya Mmiliki wa Bajaji
 
Hammer sio fashion tena ni sawa na kuendesha discover ya miaka 20 nyuma. But kwa gari hiyo naamini haendi hata mkoa ni trip town tu
Mpo wengi. Watu kama nyie hata baiskeli hamna
 
Acha upuuzi so unataka ujue source ili iweje ww kama nani
 
Inaonekana wewe unajua elimu Akhera tu.
 
Maisha ni Malengo,,chukulia jamaa ameanza kuweka akiba ya 150000 kwa mwezi Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa atakuwa na shs ngapi?? Piga hesabu.
Usisahau kuweka into your consideration kitu inaitwa INFLATION
 
Kwani kila anaeendesha gari ni lakwake mjomba?, acha hizo wewe.
 
Umetumwa kuendelea kumshughulikia baada ya zoezi la kuteka kukwama!? Chunguzeni vyanzo vyake kama katuni, MaishaPlus,ajira Clouds etc.
 
Fanya kazi acha kufatilia maisha ya watu utakufa masikini, Fanya unachokiweza usipende kujua flani anaishije haikusaidii kitu
 
MIXOLOGIST,
Wivu kivipi?
Tujue biashara yake, mbona yeye huuliza yasiyomuhusu.
Watu tunajua vizuri, sana huyu jamaa.
Tangu alipokuwa anakaa komakoma.
Acha umbea.

Pambana na hali yako,

Hivi unadhan ukiijua kazi yake itakusaidia nn?
 
Uanze we utambie una biashara gani.

Umwage humu vielelezo vyote

Kisha, tuendelee na masoud

Huo umbea wako, bakisha huko huko kibarazani.

Hili taifa linahitaj wachapa kazi na sio wachapa umbea.

Fanya kazi,ingiza kipato chako.

Umbea, wivu wa kijinga na roho ya kwanini havikusaidii chochote.

###pambana na hali yako####
 
fanya yako acha kufuatilia na nan anamiliki si vyke mbn ww hufuatiliwi watanzania badilikeni
 
Huna akili wewe, badala ya kufanya kazi umekazana kuchunguza maisha ya watu. Tulikuwa tunasema wanawake ni wambea ila baadhi ya wanaume kama wewe ni zaidi ya mwanamke kwa umbea. Fanya kazi Acha kufuatilia maisha ya watu, Eti hummer. ... wewe unashangaa Hummer! Jifunze kuwekeza, tumia muda wako kama pesa, achana na starehe Muamini Mungu huo utajiri utaona asubuhi. .ACHANA NA MAJUNGU ETI AHOJIWE WEWE NI NANI KWANZA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…