Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UWE TAJIRI!!

Yeye anakipaji wewe una nini?
 
Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?

Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
kuwa mpole mate mambo mengi yalianzia hapa
 
Mbona uniulizi mimi nime patia wapi hizi helaa?? Watu wengine banaa...
 
 
Acha wivu wa kijoyce kiria wewe. Chora vikatuni na wewe uendeshe mkoko wa maana.,town hapa.
 
Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!
Ina weza isiwe gari ya kifahari lakini ikawa gari ghali ana Hammer H3, yeye ndiye Celeb anae tumia gari ya gharama kuliko wote Tz kwa Taarifa za mwaka wa jana.
 
Ila yeye anawashwa na kuchora.
Biashara yake pale komakoma kwani haijulikani.
Kipindi yupo na mchepuo wake Nagris Mohamedi aka Pani.
Nadhani mkuu hizi ni chuki binafsi tuu si hammer
 
Na isitoshe mjin kichwa chako ndo kila kitu chako.
 
Kwanini huo mda unaotumia kumchunguza Masoud,,usiutumie kufanya mambo yako ya msingi,,kwanini kila siku ni sisi waafrika
 
a
Yani vijana tunavyojituma hadi tunaajiriwa na waajiri watatu kwa Siku unakuja kuuliza matunda tuliyonayo yametokana na ajira ipi?
Hiyo ndiyo tofauti kati ya kudesa na vipaji binafsi.nyambafuuuuuuuuuuu!
 
Mtoa Mada kweli unatumika ,Fanya kazi acha hizi uvivu ,mtumie kipanya km challenge ya wewe kufikia alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…