Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UWE TAJIRI!!Juzi kati alinipita na gari la kifahari nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom nikamfutoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Yeye anakipaji wewe una nini?