Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Katuni,maisha plus mtangazaji malkia wa nguvu.we Tazama ya wenzako badala ya kujishughulisha na yako.masudi anajitambua sio wewe unaeona wivu na maisha ya wenzako.badala ya kuwa mbunifu umekalia wivu
 
Kwahiyo anayelima umeona ni summry tu?masanja halimi?

Huyo summry unauhakka mashamba ni yake au unaropoka tu na ucdm wako?

Kambale wewe
Kuna watu wa.jinga kweli kweli.... Masanja kwani ni kilimo kimemtoa au unga...... Nani hajua Masanja alikuwa middle man mkubwa katika bissness ya unga 3 years ago?....

Ebu tumieni jicho la tatu kuangalia na kunyambua mambo. Shubamiiit
 
Figganigga huu uzi hapana....

Nyuzi kama hizi zinakushusha viwango..

Massoud mjini mbona kitambo...

Na yuko njema tu...
Sijapata jibu. Huyu ni mtu mashuhuri. Ningependekeza hata Wasanii wawe wanatangaza mali zao kama wafanyavyo washika dau Serikalini.
 
Habari yanu wakuu,
451e568b551fb912713d1d546e48f261.jpg

Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.

Kama kuandika unajua natumai na kusoma pia, ndio maana hata unasomaga katuni zake ila ulichopungukiwa na" KUFIKIRI TU" kwanini usimtafute kumuuliza ili akueleze anachokifanya? au UMBEA WAKO TU? tafuta shughuli za kufanya nawe uendeshe kama unalipenda la tafuta atakayeweza kukutunza akuhonge?
 
Pimbi wewe sasa ulivyojua masanja anauza unga ulichukua hatua gani au alijugawia?kama masanja hukuchukua hatua yoyote masoud utamfanya nini hata kama anauza unga?

Umbea unakusumbua karipori polisi peleka ushahidi wa hiyo picha uliyopiga ya hammer mmfikishe mahakamani

Utavizia picha sana hadi utoke makengeza nyoooo yako
Hahahahha Mkuu naona povu linakumwagika, pasipo shaka utakuwa wife wa Masoud...

Pole sana kama ninekukwaza Mama Kipanya
 
Watanzania sisi ni wachawi, hatupendi maisha mazuri ya wengine na hatuko tayari kujifunza na kuthubutu,
 
Hivi kweli mtu upo mtaani unamtolea mwanaume mwenzio macho! Eti pesa katoa wapi!? Mwenzio anaenda kupambana na hali yake ww unapambana na hali yake huku hali yako umeielekeza kwenye tecno ili upige picha wanaume wenzio wanao ishi maisha yao mbele ya macho yako
 
Hiyo gari nshamuona akiindesha demu flani hivi....
 
Tafakari jadidi hawa watoto wa mjini wamerithi nyumba za wazazi wao kkoo wakaziuza kwa bei nzuri usishandano nao
Hapo naanza kukuelewa
Umesema Masoud Kipanya ni mtoto mdogo??? Hivi pale alipo na 37-40 bado ni mdogo?

Watu wana-hustle aisee, Ww km hujaweza kumilili Mali za kifahari shauri zako, utaendelea kuwafukuzia wenzio uwapige picha mpaka uote vigimbi!
 
We kumae unawivu wa kike sana,tumia akili pambana
 
Alikuwa anajulikana kabla Makamba hajawa mkuu wa Darisalama,na hata alishangaa kumjua kipanya kuwa alikuwa mdogo wakati wewe upo kwenu sitimbi.
 
Back
Top Bottom