Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wa.jinga kweli kweli.... Masanja kwani ni kilimo kimemtoa au unga...... Nani hajua Masanja alikuwa middle man mkubwa katika bissness ya unga 3 years ago?....Kwahiyo anayelima umeona ni summry tu?masanja halimi?
Huyo summry unauhakka mashamba ni yake au unaropoka tu na ucdm wako?
Kambale wewe
Sijapata jibu. Huyu ni mtu mashuhuri. Ningependekeza hata Wasanii wawe wanatangaza mali zao kama wafanyavyo washika dau Serikalini.Figganigga huu uzi hapana....
Nyuzi kama hizi zinakushusha viwango..
Massoud mjini mbona kitambo...
Na yuko njema tu...
Habari yanu wakuu,
![]()
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Ni 45+Nadhani kiumri yupo 40+ so kumuita mtoto mdogo unakosea mzazi!
Hahahahha Mkuu naona povu linakumwagika, pasipo shaka utakuwa wife wa Masoud...Pimbi wewe sasa ulivyojua masanja anauza unga ulichukua hatua gani au alijugawia?kama masanja hukuchukua hatua yoyote masoud utamfanya nini hata kama anauza unga?
Umbea unakusumbua karipori polisi peleka ushahidi wa hiyo picha uliyopiga ya hammer mmfikishe mahakamani
Utavizia picha sana hadi utoke makengeza nyoooo yako
Umeelezwa ukweli acha ukudaHahahahha Mkuu naona povu linakumwagika, pasipo shaka utakuwa wife wa Masoud...
Pole sana kama ninekukwaza Mama Kipanya
Hapo naanza kukuelewaTafakari jadidi hawa watoto wa mjini wamerithi nyumba za wazazi wao kkoo wakaziuza kwa bei nzuri usishandano nao
Umesema Masoud Kipanya ni mtoto mdogo??? Hivi pale alipo na 37-40 bado ni mdogo?
Watu wana-hustle aisee, Ww km hujaweza kumilili Mali za kifahari shauri zako, utaendelea kuwafukuzia wenzio uwapige picha mpaka uote vigimbi!