Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa huwa wanasema waislamu ni watu wa kulalamika lalamika.Wagalatia wanalalama kipumbavu humu..
NyamazaFallacy of generalization
Stop
Pumba tupuMassoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Yaani ishakufa na ishazikwa au imeingia tu shimoni tu then itatolewa?Mbona katuni iko poa tu,jana KKKT imeingizwa shimoni kwani nani hakuona?
Hii inaweza kua sahihi zaid na isilete uchonganishi💯Nadhani anamaanisha timu yetu ya Taifa kule AFCON
Wewe nawe ndio mjinga wa mwisho. Huoni huo msalaba hapo. Ulishawahi kuona msalaba masjid?Hivi kwa nini Wakiristu siku hizi wameanza kuwa defensive sana, au kile kizazi cha wasomi kimeisha?
Hii ni dalili ya insecurity
Sijaona popote hiyo katuni ikimaanisha Ukiristu
Wewe nawe ndio mjinga wa mwisho. Huoni huo msalaba hapo. Ulishawahi kuona msalaba masjid?
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.
Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini
Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?
Tutafakari
View attachment 2879312
Maana yake nini ? Wakristo wanapenda kujitekenya wenyeweInaonekana humfuatilii Masoud Kipanya na katuni zake. January 15 aliposti hii?
View attachment 2879605
Tafsiri nyepesi tu ya mwendokasi imewashinda kisa wameona msalaba na ule msalaba upo pale Kampuni ikifa tu izikwe yaandikwe majina vijana shule zao magumashi kwenda Tunduma tu wanauliza Hotel za kufikia usishangae haya majibu yao...Nimepitia comment za wengi humu na kugundua asilimia kubwa ya wa Tanzania ni vichwa maji. Tafsiri za wengi zimejaa kwenye udini tofauti kabisa na lengo la mchoraji, wengi wana comment kwa hisia bila kutumia akili. Wengi hukurupuka na kutoa maoni kupitia maoni ya mwandishi na kuafiki alichoandika na sio kuchambua tafsiri ya katuni iliyojificha.
Na bado pamoja na baadhi ya watu kutoa tafsiri sahihi wamesimamia misimamo yao mitazamo yao juu ya katuni husika.
Tuna safari ndefu kwa jamii hii tuliyonayo.
Tumekuza kizazi ambacho kipo tayari kutetea dini ambayo ukifuatilia hata wala hafuati misingi yake; na tumekuza kizazi kisichofikiri kabisa badala yake ni mihemko na misimamo ya kijinga.Maana yake nini ? Wakristo wanapenda kujitekenya wenyewe
Hujajibu swali, narudia....kama gaidi Masoud angeweka kitabu cha Qur'an pale badala ya msalaba wewe na magaidi wenzako mngefanyaje?Mkuu unafikiria kutumia kichwa au makalio? Sasa qur an na mwendokasi vinahusiana vipi? Wakristo wa zamani mulikuwa wasomi ila wa siku hizi Duh!
Huyo mkristo wa kweli anapatikana wapi? Na tutajuaje kwamba huyu Ni wa kweli?Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.
Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini
Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?
Tutafakari
View attachment 2879312
Hii katuni ni series ya kifo cha mabasi ya mwendokasiUlimwengu wa Leo thread kama Yako inakosa sapoti ya hiyo katuni ni upuuzi.