Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

Hivi kwa nini Wakiristu siku hizi wameanza kuwa defensive sana, au kile kizazi cha wasomi kimeisha?
Hii ni dalili ya insecurity
Sijaona popote hiyo katuni ikimaanisha Ukiristu
 
Nimepitia comment za wengi humu na kugundua asilimia kubwa ya wa Tanzania ni vichwa maji. Tafsiri za wengi zimejaa kwenye udini tofauti kabisa na lengo la mchoraji, wengi wana comment kwa hisia bila kutumia akili. Wengi hukurupuka na kutoa maoni kupitia maoni ya mwandishi na kuafiki alichoandika na sio kuchambua tafsiri ya katuni iliyojificha.
Na bado pamoja na baadhi ya watu kutoa tafsiri sahihi wamesimamia misimamo yao mitazamo yao juu ya katuni husika.
Tuna safari ndefu kwa jamii hii tuliyonayo.
 
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Pumba tupu
 
Wewe nawe ndio mjinga wa mwisho. Huoni huo msalaba hapo. Ulishawahi kuona msalaba masjid?
 
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.

Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini

Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?

Tutafakari

View attachment 2879312

Kwa hiyo Imani ya msalaba ni KKKT pekee? Wewe na Kipanya wote wapuuzi, msalaba ni mpana na sio kitu cha kuchezea.
 
Inatakiwa uwe na akili kweli kutafsiri katuni za Kipanya aisee sio hizi akili za kuvukia bara bara...
Hiyo ni series ya kifo cha Mwendokasi mbona hata rangi inaonyesha hapo umeshindwa nini kuunga dot nyepesi hizo...
 
Nimepitia comment za wengi humu na kugundua asilimia kubwa ya wa Tanzania ni vichwa maji. Tafsiri za wengi zimejaa kwenye udini tofauti kabisa na lengo la mchoraji, wengi wana comment kwa hisia bila kutumia akili. Wengi hukurupuka na kutoa maoni kupitia maoni ya mwandishi na kuafiki alichoandika na sio kuchambua tafsiri ya katuni iliyojificha.
Na bado pamoja na baadhi ya watu kutoa tafsiri sahihi wamesimamia misimamo yao mitazamo yao juu ya katuni husika.
Tuna safari ndefu kwa jamii hii tuliyonayo.
Tafsiri nyepesi tu ya mwendokasi imewashinda kisa wameona msalaba na ule msalaba upo pale Kampuni ikifa tu izikwe yaandikwe majina vijana shule zao magumashi kwenda Tunduma tu wanauliza Hotel za kufikia usishangae haya majibu yao...
 
Maana yake nini ? Wakristo wanapenda kujitekenya wenyewe
Tumekuza kizazi ambacho kipo tayari kutetea dini ambayo ukifuatilia hata wala hafuati misingi yake; na tumekuza kizazi kisichofikiri kabisa badala yake ni mihemko na misimamo ya kijinga.
Ukiona mtu yule mbele na misimamo ya kidini jua hata hiyo dini anayotaka kuipigania haijui, yupo tu kwa sababu ni dini ya familia....
 
Mkuu unafikiria kutumia kichwa au makalio? Sasa qur an na mwendokasi vinahusiana vipi? Wakristo wa zamani mulikuwa wasomi ila wa siku hizi Duh!
Hujajibu swali, narudia....kama gaidi Masoud angeweka kitabu cha Qur'an pale badala ya msalaba wewe na magaidi wenzako mngefanyaje?
 
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Huyo mkristo wa kweli anapatikana wapi? Na tutajuaje kwamba huyu Ni wa kweli?
 
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.

Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini

Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?

Tutafakari

View attachment 2879312

[/QUOTE]
Kapteni mpya
 
Attachments

  • 1705674026143.jpg
    1705674026143.jpg
    35.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom