Massive Two Rivers mall in Nairobi aggressively conquers East & Central Africa shopping experience

usijipe moyo wewe...hayo mamalls ni dalili ya kuwa uchumi unaenuka.naona hapo umetaja kina australia na japan.hao walikuwa kitambo ndio sijambo la kushangaza ila kwetu ni hatua tumepiga..watz wenzako walipiga fujo juu ya rock city then wasema mwafikiria tofauti..uache unafiki na upatie pongezi zinapostahili
 
Wakenya wengi ni malimbukeni sana... Wanafurahia hayo mammals mengi wakati wengi wao wanapita kushangaa fahari ya macho uwez wa kununua hawana.. Kwani nani hajui ya kuwa wazungu na wa Asia ndio wateja wakubwa wa hayo mammals.. Alaf hata bidhaa zinazouzwa kwenye hayo majumba zaidi ya 50% ni bidhaa za wazungu na wa Asia sasa ninyi mwajivunia nn? Wakenya ni shida sana nafikir ugumu wa maisha ndio umewafanyia wawe na akil zile za bora kuzaliwa mbwa ulaya..
 
Ngongele Msanga Go https://jamii.app/JFUserGuide yourself in a Danganyikan corner
True Very true

Skuizi asians and wazungu are really black

Here is Garden city mall Nairobi The Second largest mall in East and central Africa

Look at all those asians and whites

 

hahahaha hapo sawa bro! let them know!
 

boss! Kenya si danganyika. Tuheshimiane tafadhali.


 
kwelko hawa manguchi wanadhan tuko ligi moja !!

Westgate juzi tu imevaamiwa tayari isha open
 

Capital Centre hii hapa.
 
Woooooah!! [emoji32][emoji32][emoji32][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji33] this thing is massive ......and its not even Half the size of that south african mall-Mall of africa ......when we get a 200,000m2 mall ntatii
 
Two rivers mall more updates i heard they will officially call it eti Mall of Kenya .....
water fountains Under constructionTwo rivers Ceilings
 
Hata ufalme wa mbinguni wakenya mlisha jenga tayari. Hivi vitu mnavyo onyesha hapa ndio ina define ukenya wenu? Kama wakenya bado mnatafuta Euro bond zilipotelea wapi, look no further.
 
Ndugu zangu Wakenya, hamuhitaji kujaza mate humu mnasifia majengo ambayo 70% ya customers sio nyie... hii inatarget market gani kama sio wazungu wahindi na foreigners working in Kenya? Wakenya wengi choka mbaya, wamechoka kazi yao kupiga midomo mitandaoni tu. Mtaishia kwenda kupiga selfie tu nakuposti busy shopping... Yaani mna sifa za kitoto ..duh, embu kafanyeni kazi huko
 
Uzuri maisha yao twayajua watujengee tu sie wageni tukaspend
 
hivi visababu vyenu bado havijaisha..umeangalia izo picha za wazungu na warabu hapo juu wakiwa garden city,galleria.the hub,capital center...nadhani samuel999 amewaonyesha.tafuteni visababu vingine..this is getting really old
 
Uzuri maisha yao twayajua watujengee tu sie wageni tukaspend
hivi una akili kweli...wajenge mall kenya kwa sababu ya nyinyi wageni kutoka tz mje mspend?huoni ingekuwa rahisi kuijenga huko bongoland kama mwaspend sana....bure kabisa!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…