James_de_Pedro
Senior Member
- Aug 4, 2016
- 165
- 73
Sauti yenyewe ya mondi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hajui kuimba kweli...
Mbona dogo kila akiachia wimbo unakuwa hitsong sasa nashangaa mwenzangu unaposema jamaa hajui kuimba cjui unamanisha nn
[emoji23]Labda hisia zako na demu wako.
Waja hamukosi cha kusema......watanzani wanavodhani mtu kujua kuimba abane pua kama kina kiba na kina mavoko basi huyo ndo anaejua kuimba lkn tofaut na apo hujui kuimbaAnahitaji kujenga utambulisho wake, sio kila jambo amuige tu diamond. From kuvaa, aina ya mademu anaotoka nao, kuongea hadi kuimba. There is no such thing as an original copycat, ndio essence ya sisi kumuona kua hajui kuimba
Hainaga ushemeji tunakulagaKwani kaimba wimbo gani tuweze kumtathimini?
Copy tukusikieMasta j hakukosea,kama kucopy kwa diamond hata mimi naweza
kwa hiyo wapenzi wa muziki wanahitaji Wasanii wabakwe na makahaba wa bongo movies?!Siyo kweli. Wewe jaribu kupunguza chuki na wivu kidogo, kisha sikiliza sauti ya huyu dogo. Dogo anastahili pongezi kwa juhudi zake. Diomond anajua biashara, anajua nini wapenzi wa muziki wanahitaji ndiyomaana dogo yupo pale
kanikera kweli huyu...angekuwa karibu ningemzibua makofiTena mwambie awe na heshima kwa hao wazee aliowataja...
Yaani hii mikelele ya hamonaiz ni muziki??? sasa akina maurice kiria wa Uganda tuuitaje??
Wanaojua mbona hawana life ya maana?"The way" bado hajui kuimba
Iga wewehilo kundi kila mtu anamuiga diamond saut,sasa hiyo akili au matope
kwani Master Jay alimwambia ajui kuimba au hana life ya maana?!Wanaojua mbona hawana life ya maana?
Hanakwani Master Jay alimwambia ajui kuimba au hana life ya maana?!
Miss Natafuta. Nakutafuta sana mrembo wewe!kwani aliimba nini pale jamani
maraiiika kimakonde kabisa
Hilo la kubakwa halihusiani na muzikikwa hiyo wapenzi wa muziki wanahitaji Wasanii wabakwe na makahaba wa bongo movies?!
kanikera kweli huyu boya...angekuwa karibu ningemzibua makofi
Nini maana kioo cha JamiiHilo la kubakwa halihusiani na muziki
Plus MATATIZO, acha kabisaIla wimbo wa bado umeteka hisia za wengi...
DuhView attachment 399681
watu mnadhambi!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole harmonizer!!!!
sasa mbona kabla ya muziki hakuwahi kubakwa na Wolper?!Hilo la kubakwa halihusiani na muziki
Hivi mtazamo wa anayejua muziki ndiye nani?!! Kazi za sanaa ni bidhaa kama bidhaa nyingine. Kama mtu anatengeneza bidhaa inayokubalika sokoni na haina madhara, basi hiyo no bidhaa nzuri. Uzuri wa bidhaa unahusu Mambo mengi, kama vile ubora, unafuu wa bei,nk. Hivyo soko ndilo linasema Ipi ni bidhaa nzuri. Dogo anakubalika na Mashabikia, sasa huyo mtaalamu wa muziki ana nafasi gani hapa. Na hata hao anaowakubali yeye mbona wanahaha kupenya kwenye soko bila mafanikio. Master J ni mtaalam wa muziki aina ya HIP Hop siyo aina zote. Hivyo aina nyingine zote yeye si shabiki wake.