Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

Unachukuliaje masuala ya Kisiasa katika maisha yako?

  • A) Nafuatilia masuala ya kisiasa sababu najua umuhimu wake

  • B) Siasa haina umuhimu wowote kwenye maisha yangu, sifuatilii kabisa!


Results are only viewable after voting.
Hii ndio nafasi ya sisi tunaotengeneza hayo material yanayoenda kutugeuka kuungana, anazingua imetoka hiyo, hapati nafasi nyingine katika maisha yake. Lakini sasa tunakosa huo umoja, tunagawanyika. Hapa unakubali kwamba sisi wenyewe ndio tatizo?
Shida sio mara moja 😂 mtu uchaguzi wa 2010, kapambana mbunge katoa ahadi, kaacha kazi, kazunguka kumnadi, anapata ubunge anahamia Dar 😂😂😂 same issue inahappen 2015, same issue inatokea 2020,

Chadema na wanasiasa wanaolalamikia watu kutotaka kujihusisha na siasa wajue chanzo ni wao wenyewe, watu sasa wameona bora nikomae na kazi zangu nitatoboa, wanasiasa wa nchi hii wote (tawala na upinzani) wapo kwa maslahi tu au shida ni fame ndo mana wanashindana kujaza nyomi ila huoni wakishindana kutatua changamoto 😂😂 sasa watu wa nn hao ? Wanawageuza raia ni mtaji, binafsi nikiingia kwenye siasa basi mm ni mwanasiasa, hizi nyingine hakuna kitu, hawa jamaa hawakawii kuunga mkono juhudi
 
Siasa za bongo hazina maana. Cha msingi ujue haki na wajibu wako basi
 
Back
Top Bottom