Masudi Kipanya akemewe kabla hajaleta machafuko kama Lars Vilks

Lugha pale ikulu ilikuwa kisukuma hata walinzi wengi walikuwa wasukuma hata kuna waziri alizungumza kisukuma live wabeja baba
Wasukuma ni watanzania hawazuiwi kuzungumza kisukuma.
 
Wanaposhambuliwa Wachaga huwa unajidai hujui kusoma?Au wengine wakiitwa nyumbu unafurahi?Furahi tena.Kwani sukuma maana yake siyo lulazimisha kitu bila akili kijongee? 😂
Nioneshe katuni iliyowai chorwa ikitaja kabila la wachaga. Nikuoneshe ofisi ya Chadema yenye choo cha kuflash.
 

Anza na harmonize yeye ana Konde gang.
 
Mtoa mada Kipanya kaongelea Sukuma genge (kikundi) na si kabila la wasukuma
 
Sijivunii kuwa JF na mtu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…