Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuni huu bado upo!!?Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio
Uhuni huu bado upo!!?
Swali la msingi sana.Wakati anafungwa pingu hamkusoma plate no ya gari
Utetezi wa kipuuzi sana huu .walimchukua usiku? Wananchi walikua wangapi na hao wasiojulikana wangapi? Hii tabia ya kuacha kuchukua hatua hata ambazo ni rahisi kwa uoga wa kukamatwa zitatufukisha pabaya tubadilike watanzania.Keyboard warriors wanauliza kuhusu KUPIGA Picha hao watu waliomchukua KIJANA.
Ni hivi, siku zote Viherehere ndio wanapata shida. Kuna situation sio za kujifanya SHUJAA.. NEXT Trip inakuwa zamu yako.
Umenyanyua ki tekno chako kupiga picha mara imewaka FLASH LIGHT wajomba wanakubebelea na wewe
Ni hivi, huwezi kukurupuka kuanza kuzuia flan asichukuliwe hali ya kuwa HUMJUI/HAKUJUI.Utetezi wa kipuuzi sana huu .walimchukua usiku? Wananchi walikua wangapi na hao wasiojulikana wangapi? Hii tabia ya kuacha kuchukua hatua hata ambazo ni rahisi kwa uoga wa kukamatwa zitatufukisha pabaya tubadilike watanzania.
Duh...!, hao watakuwa sio wasiojulikana, hao watakuwa ni wale vijana wa kazi, wasiojulikana hawatumii pingu!, hivyo msiwe na haraka, bado wanahangaika nae, akawaonyeshe hicho walichomkamatia, kisha ndio watamfikisha kituoni.Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio
Pascal Salam kaka,Duh...!, hao watakuwa ni vijana wa kazi, wasiojulikana hawatumii pingu!, hivyo msiwe na haraka, bado wanahangaika nae, akawaonyeshe hicho walichomkamatia, kisha ndio watamfikisha kituoni.
P
Hao huitwa "keyboard warriors", kamwe usijichanganye kufata wanachokuelekeza humu JF maana wako vise versa is totally true by 100%.Ni hivi, huwezi kukurupuka kuanza kuzuia flan asichukuliwe hali ya kuwa HUMJUI/HAKUJUI.
Let's say, upo road unatembea ghafla linakuja gari linakuacha wewe linamchukua mtu tu alikuwa kasimama, na hao waliomchukua wanajitambulisha ni Mapolisi. Wewe utazuia? Una uhakika huyo mtu si mhalifu? Utachukua hatua gani zaidi ya ushahidi tu wa macho (najua huwezi nyanyua simu kurekodi tukio).
So mhusika mwenywe ndio anatakiwa ajipambanie asikubali kubebwa/Kuswagwa kama Mfugo, mtu anakuambia PANDA gari na wewe huyo umepanda, weka resistance, shout..
Ndio yale yale kipindi cha Panya ROAD ukisimamishwa ukikimbia unakula CHUMA. Tafsiri umekaidi amri, same hapo ukijichanganya kuzuia Mlengwa asichukuliwe na Hao watu unakula CHUMA pia au na wewe unaenda nao mbele kwa mbele.
Wasiojulikana ni wale wahuni ambao hawajulikani, vijana wa kazi ni plain clothed police, ndio wanaotumia pingu.Pascal Salam kaka,
Naomba nitoe gizani, nini tofauti ya VIJANA WA KAZI vs WASIOJULIKANA?