Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.

IMG-20221226-WA0026.jpg
 
Huu ni uzembe wa Khali ya juu,
How comes mtu akamatwe na police wasosema kituo watokacho ati na nyie mko mmerelax
 
Hamkuipiga picha hiyo gari wakati anachukuliwa?muda mwingine watanzania tusiwe kama makondoo mnaona mwenzenu anakamatwa mnaashindwa hata kupiga picha na kutuma huku mitandaoni tuwatafute hao majambazi. Otherwise tutasema ni majungu
 
Keyboard warriors wanauliza kuhusu KUPIGA Picha hao watu waliomchukua KIJANA.

Ni hivi, siku zote Viherehere ndio wanapata shida. Kuna situation sio za kujifanya SHUJAA.. NEXT Trip inakuwa zamu yako.

Umenyanyua ki tekno chako kupiga picha mara imewaka FLASH LIGHT wajomba wanakubebelea na wewe
 
Utetezi wa kipuuzi sana huu .walimchukua usiku? Wananchi walikua wangapi na hao wasiojulikana wangapi? Hii tabia ya kuacha kuchukua hatua hata ambazo ni rahisi kwa uoga wa kukamatwa zitatufukisha pabaya tubadilike watanzania.
 
Ni hivi, huwezi kukurupuka kuanza kuzuia flan asichukuliwe hali ya kuwa HUMJUI/HAKUJUI.

Let's say, upo road unatembea ghafla linakuja gari linakuacha wewe linamchukua mtu tu alikuwa kasimama, na hao waliomchukua wanajitambulisha ni Mapolisi. Wewe utazuia? Una uhakika huyo mtu si mhalifu? Utachukua hatua gani zaidi ya ushahidi tu wa macho (najua huwezi nyanyua simu kurekodi tukio).

So mhusika mwenywe ndio anatakiwa ajipambanie asikubali kubebwa/Kuswagwa kama Mfugo, mtu anakuambia PANDA gari na wewe huyo umepanda, weka resistance, shout..

Ndio yale yale kipindi cha Panya ROAD ukisimamishwa ukikimbia unakula CHUMA. Tafsiri umekaidi amri, same hapo ukijichanganya kuzuia Mlengwa asichukuliwe na Hao watu unakula CHUMA pia au na wewe unaenda nao mbele kwa mbele.
 
Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio
Duh...!, hao watakuwa sio wasiojulikana, hao watakuwa ni wale vijana wa kazi, wasiojulikana hawatumii pingu!, hivyo msiwe na haraka, bado wanahangaika nae, akawaonyeshe hicho walichomkamatia, kisha ndio watamfikisha kituoni.
P
 
Ni hivi, huwezi kukurupuka kuanza kuzuia flan asichukuliwe hali ya kuwa HUMJUI/HAKUJUI.

Let's say, upo road unatembea ghafla linakuja gari linakuacha wewe linamchukua mtu tu alikuwa kasimama, na hao waliomchukua wanajitambulisha ni Mapolisi. Wewe utazuia? Una uhakika huyo mtu si mhalifu? Utachukua hatua gani zaidi ya ushahidi tu wa macho (najua huwezi nyanyua simu kurekodi tukio).

So mhusika mwenywe ndio anatakiwa ajipambanie asikubali kubebwa/Kuswagwa kama Mfugo, mtu anakuambia PANDA gari na wewe huyo umepanda, weka resistance, shout..

Ndio yale yale kipindi cha Panya ROAD ukisimamishwa ukikimbia unakula CHUMA. Tafsiri umekaidi amri, same hapo ukijichanganya kuzuia Mlengwa asichukuliwe na Hao watu unakula CHUMA pia au na wewe unaenda nao mbele kwa mbele.
Hao huitwa "keyboard warriors", kamwe usijichanganye kufata wanachokuelekeza humu JF maana wako vise versa is totally true by 100%.
 
Back
Top Bottom