Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
Sio rumumba ni Lumumba mkuuHivi ukiandika pesa za serikali unahisi hauta pewa 7000/= yako rumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rumumba ni Lumumba mkuuHivi ukiandika pesa za serikali unahisi hauta pewa 7000/= yako rumumba
CHADOMO MTACHONGA SANAUpuuzi mtupu, mradi wa mama Samia katoa wapi pesa? Acheni siasa za kiupambe, ndio maana viongozi wanavimba vichwa na kuishia kuiba kuiba kwa ajili ya hizi sifa za kijinga.
Kaziiendelee Tanzania na SamiaMRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.
Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Meneja wa Ruwasa wilaya ya Maswa,Mhandisi William Boniphace alisoma taarifa ya mradi huo kwa wajunbe wa kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Simiyu amesema kuwa wananchi watakaonufaika ni wa vijiji vya Isulilo,Mwamihanza na Ngingwa.
Mhandisi Boniphace amesema kuwa hadi sasa kazi zilizofanyika katika mradi huo ni pamoja na ujenzi wa tenki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa Lita 90,000 katika mnara wa mita 15,Ujenzi wa vituo 10 vya kuchotea maji,Ununuzi wa pampu za kusukuma maji na Ulazaji wa bomba umbali wa Kilomita 15.426
Akielezea gharama za Mradi huo amesema kiasi cha Sh 462,813,735 zimetumika katika mradi huo na tayari chombo cha watoa huduma ya maji ngazibya jamii kimeundwa na kusajiliwa kwa lengo la kuufanya mradi huo kuwa endelevu.
Aidha Mhandisi Boniphace ameeleza kuwa mpango mkakati wa Ruwasa ni kuongeza huduma ya maji kwa kupeleka katika kijiji cha Kidema na hiyo imewekwa kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoa wa Simiyu,Emanuel Gungu Silanga ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa kamati hiyo iliyotembelea mradi huo aliipongeza Ruwasa kwa utekelezaji wa mradi huo.
Sambamba na pongezi hizo baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo walitoa ushauri kwa Ruwasa kuangalia gharama za kuwauzia wananchi maji kwa ndoo moja ziwe za chini ili wananchi wengi waweze kunufaika na mradi huo ambao tayari umeanza kutumika.
View attachment 2053248
Wewe ni hamnazo!Mkuu tatizo ni nini? Rais Samia ndio kiongozi mkuu wa Serikali tukisema kafanya yeye tunakosea nini?
Kuna siku anavaa kitambaa chekundu kichwani na kuna siku anavaa kitambaa cheusi kichwani sasa mwenye kujua tofauti za hayo mavazi tafadhali?MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.
Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Meneja wa Ruwasa wilaya ya Maswa,Mhandisi William Boniphace alisoma taarifa ya mradi huo kwa wajunbe wa kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Simiyu amesema kuwa wananchi watakaonufaika ni wa vijiji vya Isulilo,Mwamihanza na Ngingwa.
Mhandisi Boniphace amesema kuwa hadi sasa kazi zilizofanyika katika mradi huo ni pamoja na ujenzi wa tenki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa Lita 90,000 katika mnara wa mita 15,Ujenzi wa vituo 10 vya kuchotea maji,Ununuzi wa pampu za kusukuma maji na Ulazaji wa bomba umbali wa Kilomita 15.426
Akielezea gharama za Mradi huo amesema kiasi cha Sh 462,813,735 zimetumika katika mradi huo na tayari chombo cha watoa huduma ya maji ngazibya jamii kimeundwa na kusajiliwa kwa lengo la kuufanya mradi huo kuwa endelevu.
Aidha Mhandisi Boniphace ameeleza kuwa mpango mkakati wa Ruwasa ni kuongeza huduma ya maji kwa kupeleka katika kijiji cha Kidema na hiyo imewekwa kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoa wa Simiyu,Emanuel Gungu Silanga ambaye ndiye alikuwa kiongozi wa kamati hiyo iliyotembelea mradi huo aliipongeza Ruwasa kwa utekelezaji wa mradi huo.
Sambamba na pongezi hizo baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo walitoa ushauri kwa Ruwasa kuangalia gharama za kuwauzia wananchi maji kwa ndoo moja ziwe za chini ili wananchi wengi waweze kunufaika na mradi huo ambao tayari umeanza kutumika.
View attachment 2053248
Kaziindelee vizuri SanaMRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.

Kaziindelee Tanzania na SamiaMRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.

Mia Mia mkuuKaziindelee Tanzania na Samia
Hakuna kama Rais SamiaMRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.