Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Mkuu kwakuwa EU wametuingilia bila sababu je, kwanin tusitunishe misulii kama rwanda?
Kama ikiwezana tuwafukuze wajumbe watakao kuja kwetu kwa ajili ya hilo.

Na tuwaonye EU waaache kudandia hoja zisizowahusu.
Na tena tuwafunge wote wanasapoti hayo maelekezo ya EU.

Tena twende mbali kabsaa kuwawekea vikwazo nchi za Ulaya.

Ila kama kweli hoja za EU zinamashiko tuzichukue na kuzitekeleza kama vile serikali ya CCM inavyo itaka CDM kufuata maelekezo yake.
 
Kwa hiyo, kwenye mkataba huo ndio unaelekeza Taifa moja kuliingilia Taifa lingine kwenye masuala yake ya ndani? Eem weka huo mkataba hapa tuusome mkuu.
Mkuu iko hivi Chama cha mapinduzi (CCM) ndo kimeingilia mambo ya ndani ya taifa, nchi na serikali ya tanzania tuache kuzunguka zunguka lets be straight. Achana Kwenda mbali kote 7000km away from us.
 
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
 
Endeleeni kukaza shingo muda sio mrefu mtaanza kupiga mayowe.
 
Unauliza ni kwanini bunge la ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania wakati nusu ya bajeti yako nchini ni wao ndo wahusika wakuu πŸ˜†πŸ˜†
 
utayapata majibu wakiamua kuwa front over everthing
 
Acheni ujinga na ujuaji wa kipumbavu nyinyi omba omba.
 
Reactions: al1
Haya ni maswali ya civics form two.? Maajibu yake ni rahisi sana
 
Kunywa K _ vant utilize akili .eti maswali 8 ya kuwauliza European Parliament
 
Kunywa K _ vant utilize akili .eti maswali 8 ya kuwauliza European Parliament
Inanikumbusha barua ya ALBERTO Msando aliyoiandika. Kipindi cha magufuli ati anaujibu ubalozi wa USA!? Yaani balozi wa USA asome takataka ya lumumba???
 
Nikumbushe ni lini Tanzania ililaani mashambulizi ya Israel kwa Wapalestina. Awamu ya kwanza ilivunja uhusiano wa kibalozi na Israel nyie mmeurudisha.
 


Soma kwanza hiyo then uje na andiko lako
 

Attachments

  • Screenshot_20250508_221635.jpg
    373.9 KB · Views: 15
Human rights za kutaka midume ifi....r..a..ne!!?? Huo ni upumbavu ambao hata Mungu atasimama na chama tawala!!
 
kama unaomba omba mikopo uko ulaya na unapewa kwanini usifatiliwe.
 
Ulivo taburalasa hujui hata kama eu ishajadili sana na kuipa msaada ukraine kwenye vita na urusi, ishajadili sana vita ya Israel na wapalestina sasa kama hivi vitu hujui vishafanyika unaonekana ni kilaza wa aina gani
We hamu yako ni moja tu, unasubiri sheria ya midume kuoana ili uolewe, basi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…