Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
- Thread starter
-
- #41
Kabla hujasema misaada, umejiuliza wamekwapua rasilimali zetu kwa kiwango gani?Unachekesha, misaada na ufadhili ndio inayotoka nchi hizo. Alaah! Nikupe msaada na ufadhili halafu nisiingilie mambo yako ya ndani? Jitegemee ndio sitaweza kukuingilia
Unajua hao hao wazungu wanaipa nchi yako shilingi ngapi? Kila siku mnapanda ndege kwenda kuwaomba hela na mikopo nafuu mnategemea nini? Tuliaaa. Na bado hujasema
Sasa kama unajua hakuna misaada ya bure na serikali yako inachukua misaada hiyo unapiga mayowe ya nini? mumekula vya watu lazima mkubali masharti yake ikiwa ni pamoja na kukemewa mkikiuka masharti.Ukitaka kujua hakuna misaada ya bure, mfuatilie Trump na Ukraine kwa sasa.
CCM chamaTatizo ndio linaanzia hapo, kuamini kila anayetoa maoni yake basi anahitaji nafasi ya kuteuliwa. Huo ni uoga tu 😂😂
Hapo tafsiri ni kukopa, na kukopa sio bure. Unakopa na Unalipa.Sasa kama unajua hakuna misaada ya bure na serikali yako inachukua misaada hiyo unapiga mayowe ya nini? mumekula vya watu lazima mkubali masharti yake ikiwa ni pamoja na kukemewa mkikiuka masharti.
Kwani wamekwapua at gun point, si ni serikali ya CCM ndiyo inawapaKabla hujasema misaada, umejiuliza wabekwapua rasilimali zetu kwa kiwango gani?
Sawa chawa.Waende, ni bora kuanza upya kuliko kuendelea kunyonywa alafu watupangie cha kufanya tena.
kaka kila nikifikiria utamu wa toyota lc 300 series. mtuwie radhi.hayo mnayoyapigania itakua myown suicide. neverRaphael Wewe Ni mgeni kwenye Siasa?
Swali la Kwanza!
Hukusikia Mwenyekitu na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akisema Kuwa Chadema haitashiriki Uchaguzi? Amepita Akihojiwa Kwenye vyombo mbalimbali akifanya hivyo..
Swali la 2!
Unafahamu Kuhusu Mkataba wa Cotonou (Cotonou Agreement – 2000), .Universal Declaration of Human Rights (1948),International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR – 1966),EU Guidelines on Human Rights Dialogues (2001 )
Swali kwanini EU inaweza kujadili au kulaani bila kuwa "juu ya sheria"?
Kwa sababu nchi kama Tanzania zimeingia kwa hiari katika mikataba hiyo.
Mara tu nchi inapokubali mkataba, inawajibika kimataifa kuheshimu masharti yake.
Bunge la Ulaya linaweza kutumia majukwaa ya kisiasa kuonyesha msimamo wake – si kuingilia moja kwa moja, bali kutoa shinikizo la kidiplomasia au kuathiri misaada/ushirikiano...
Naomba Nilukumbushe Kwamba Unapokuwa Nchi wanachama wa Jumuiya Fulani au Mikataba fulani Huwa ina Mashart yake Na Inapaswa Kufuatwa Huwo huru pale unaposaini Miakaba Unakuwa Chini ya Vifungu na Sheria
Uko sahihi mkuu hii kwakinyakyusa tunaita: Expecting results from what youHili kuchomoka ndani ya CCM kupitia you’ve got to be clever.
Vinginevyo CCM ina wapuuzi wengi wanaotafuta nafasi za uongozi.
Uwezi kuwa impress hao watu kwa kuandika mada za kijinga, ambayo majibu wanayo tayari.
Sawa ni mikopo lakini yenye masharti nafuu, jee umeshawahi kuchungulia unafuu wa hayo masharti?Hapo tafsiri ni kukopa, na kukopa sio bure. Unakopa na Unalipa.
CCM chama
CCM ina succession planing yake, sasa aina maana wote ni waelevu. Iła kati ya hao mataahira watakuwa viongozi.
CCM pia ipo tayari kuokota talent nje ya chama kwa watu wenye uwezo.
Sasa ili uokotwe nje ya mfumo wa wao uhitaji kuwa chawa, Iła kuwaonyesha uelewa mpana ikibidi kuwakosoa technically.
Wana watu humu wa kukupendekeza huyu mtu anatufaa (trust me).
Lakini kwenda kuandika ujinga on technical issues, wana wapuuzi wengi wa kufanya hiyo shughuli.
Yaani motion ya MEP ambayo ni nonsense uindakie majibu ya ujinga hivyo.
Inaonekana hujui siasa kama wachangiaji wa CDM, unajipendekeza tu. Na kuna namna za kujipendekeza kuliko kuongelea mambo usiyoyajua.
Hili jukwaa linapitiwa na watu wazito wa CCM na usalama ni sehemu ya kuonyesha uwezo wenu vijana.
Hata mnaelewa somo
Nimecheka Sanakaka kila nikifikiria utamu wa toyota lc 300 series. mtuwie radhi.hayo mnayoyapigania itakua myown suicide. never
Sasa wewe ndio unajipendekeza kwao ili wakuone uko smart brain kumbe..... kijana mwanaume kujipendekeza kuandika jambo ili kumvutia mtu au kundi fulani ni upuuzi mkubwa sana. Daima andika unachoamini ni sahihi na pasipo kumvunjia mwingine heshima yake. Nimehitimisha.CCM chama
CCM ina succession planing yake, sasa aina maana wote ni waelevu. Iła kati ya hao mataahira watakuwa viongozi.
CCM pia ipo tayari kuokota talent nje ya chama kwa watu wenye uwezo.
Sasa ili uokotwe nje ya mfumo wa wao uhitaji kuwa chawa, Iła kuwaonyesha uelewa mpana ikibidi kuwakosoa technically.
Wana watu humu wa kukupendekeza huyu mtu anatufaa (trust me).
Lakini kwenda kuandika ujinga on technical issues, wana wapuuzi wengi wa kufanya hiyo shughuli.
Yaani motion ya MEP ambayo ni nonsense uindakie majibu ya ujinga hivyo.
Inaonekana hujui siasa kama wachangiaji wa CDM, unajipendekeza tu. Na kuna namna za kujipendekeza kuliko kuongelea mambo usiyoyajua.
Hili jukwaa linapitiwa na watu wazito wa CCM na usalama ni sehemu ya kuonyesha uwezo wenu vijana.
Hata mnaelewa somo
Ni mcha wa mbuziHuyu ni Mcha Mbuzi au Mwanadiplomasia ?
Wakati wa ukoloni wa wazungu, wazungu wengine walipigania inchi makoloni zipewe uhuru. Hata sasa wanapigania inchi makoloni zipewe uhuru dhidi ya ukatili wa wakoloni weusiIkiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Sina uhakika halisi wa maana yako yote. Iła kwa uelewa rahisi bila ya mafumbo kama yapo nakubaliana na wewe.Uko sahihi mkuu hii kwakinyakyusa tunaita: Expecting results from what you yaani kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua, vile vile kutaka pisi Kali ukijua kwamba huna pesa
Africa haiwez kuwa huru kama waafrika wenyewe hawataki kuwa huru. Kuanzia viongoz ambao kutwa kucha hawakato miguu huko, unafikir funds na mikopo inatokea wapi? Miradi inaendeshwaje?Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.
Mnataka msiingiliwe jinsi mnavyonyima haki wananchi wenu? Yaani muwe huru kuua ndugu zenu kwa sababu mmeshika dola?Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?
3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?
4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?
5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?
6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?
7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?
Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Wazungu wanajipendekeza tanzania? 😂😂😂Wazungu wenyewe wanajipendekeza Tanzania, hawana uwezo wa kutupangia lolote, kila rasilimali wanazotaka wanapata sasa unadhani watafanya nini?? Na huyo Lissu kama ana uwezo awape wanachotaka.Pumbaaf zao!