Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Kichwa cha habari ni kwa kiswahili, maelezo ndani kiingereza? hivi hapa jf hakuna hukwaa la kiingereza?
 
hata kama lilikua bara moja lilikua kubwa sana, sasa kukusanya hizo pair za wanyama bara kubwa kiasi hicho na usafiri hakuna,
vp hapo mkuu?
Mnapenda Sana kumchokonoa Mungu vile mwenyewe hapendi.
 
Majibu yote kuhusu nuhu hutoweza kutapatapa ila kwenye kitabu kimoja tu nayo Qur-an ambayo haina shaka
 
Andika kiswahili, wengine tulipishana na mwl wa kingereza mlangoni
Hizi lugha za kuja na ndege kwangu chanel zote chenga
 
Mkuu mbona jibu lako simple sana. Kilichotokea ni uweza wake Mwenyezi Mungu. Hakuna linaloshindikana kwakwe yeye aliye juu na Muumba wetu.

Wanyama hao walipigwa na usingizi mkaree kiasi kwamba hawakuweza kufurukuta na kuleta uharibifu hata kujamiana hawakuweza for 40 days.
 
Huu ni uongo uliopitiliza
 
Andika kwa kiswahili upanue wigo
alicho maamisha katika hayo maswali anayo jiuliza yeye hao wanyama waliwezaje kuishi ilighali kila mmoja alikuwa anakula chakula tofauti na alipata wapi chakula kwa kila mmoja wao na aliwezaje kuwatenganisha na fikili hilo nda swali la muhimu; ilo la maji maji hayajichanganyi
 
Hiyo stori nayo ukiitafakari uwezekano wa kuwa ni ukweli ni mdogo sana
hiyo ni ukweli hapo ndipo mungu anajiziilisha ya kuwa muweza mfano jua no one knows about the what is behind the sun ?
 
Andika kwa kiswahili upanue wigo
Ushamfukuza mtoa post......maana kichwa cha habari kiswahili ndani lugha ya malkia

[emoji124] [emoji124] [emoji124] nami ngoja nipite tu akiandika kiswahili nitarudi.
 
sasa kama mungu hahitaji sayansi, kwa nini sasa alitumia mvua kubwa na safina kubwa kuwanyima pumzi viumbe asiowapenda ili vife (hii ni sayansi) wakati angeweza kutumia huo uwezo wake kirahisi zaidi?
 
siku 40 zilipopita ilikuaje, maana hata mafuriko yalipoisha dunia ilikua empty kasoro hao wanyama waliokua saved, je walikula nini ili wa survive na kuendeleza kizazi???
 
sasa kama mungu hahitaji sayansi, kwa nini sasa alitumia mvua kubwa na safina kubwa kuwanyima pumzi viumbe asiowapenda ili vife (hii ni sayansi) wakati angeweza kutumia huo uwezo wake kirahisi zaidi?

Nithibitishie kuwa mungu alitumia sayansi na siyo utashi wake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…