Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Ndio bichwa kubwa hivyo! Sasa ndani walikuwa wanaingiaje?Naskia kwenye gharika kulikuwa na survivors ndio hao nephilims soma Hesabu 13:33
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio bichwa kubwa hivyo! Sasa ndani walikuwa wanaingiaje?Naskia kwenye gharika kulikuwa na survivors ndio hao nephilims soma Hesabu 13:33
Kwani na wewe unaamini hiki kisa cha Gharika ni ukweli,na kiliwahi kutokea?Ndio bichwa kubwa hivyo! Sasa ndani walikuwa wanaingiaje?
Aaaa wapi, mi naona ni riwaya tu tena mtunzi mwenyewe kajikanyagakanyaga tuKwani na wewe unaamini hiki kisa cha Gharika ni ukweli,na kiliwahi kutokea?
Basi kuna masikini wa Fikra humu ndani wanalazimisha hadithi iwe ukweliAaaa wapi, mi naona ni riwaya tu tena mtunzi mwenyewe kajikanyagakanyaga tu
Basi kuna masikini wa Fikra humu ndani wanalazimisha hadithi iwe ukweli
Kisa cha Nuhu ni uongo tu,unaopingana na sayansi pamoja na historia
Anayebisha,alete hoja zake,na mie nitaleta zangu tuzichambue
Na pia unaamini Mungu yupo?
Spirituality bila mantiki ni uwendawazimuBujibuji said:Bible is very spiritual, wee peleka maswali yako ya kiandishi habari,
Hakuna maswali yasio na majibukamwe hutoijua wala kupata majibu.
Umeshindwa kujibu umeamua kuhubiri,Nyenyekeeni chini ya mkono ulio hodari ..... bila unyenyekevu na hofu ya Mungu wewe ni si kitu
Kinyume chake,uwezekano wa Mungu kuwepo ni mdogo sana kuliko kisa cha Nuhu na mnara wa BabeliUwezekano wa Mungu kuwepo ni mkubwa kuliko story ya Nuhu na ile ya Mnara wa babeli
Ha ha ha ha ha umenifurahisha sana,sasa si ulisema kuwa Yesu alikuwa ni kwa ajili ya waisrael tu maanake hata Mohamed alikuwa ni wa Wasaud tu,sasa sisi Waafrika mtume wetu ni nani??Aliembashiria kuja alishakuja, ni MUHAMMAD (S.A.W) Mtume wa ulimwengu wote,na alikuja na kitabu cha ulimwengu wote kisicho na Shaka ndani yake,na ni mtume wa mwisho,
Innalillah wa innalillah rajiun; HAKIKA SISI NI WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA;"" Ndugu zangu huu ni msiba mkubwa waja wa mwenyezi mungu kuingilia na kutoa mitazamo yenu juu ya matendo ya allah hakika mwakosea sana kwa kweli na mungu atunusuru kwa mauzi yetu kwake inshaallahmwneyewe nimejiuliza hili swali, yaani alichofanya ni kama mtu kuchoma nyumba ili aue panya wanaokula nafaka zake, wakati alikua na uwezo wa kutumia mbadala mzuri zaidi
halafu anaposema zamani simba wala chui hawakua hatari anamaanisha walikua hawali nyama??
hii story ya nuhu ukiitafakari utaona ni kama zile fable story za darasa la pili wanazosimuliwa watoto ili kuwatisha wawe na maadili
Kinyume chake,uwezekano wa Mungu kuwepo ni mdogo sana kuliko kisa cha Nuhu na mnara wa Babeli
Lete hoja mezani,ambazo unadhani zinathibitisha uwepo wa Mungu
Na mie nilete zangu ambazo zinapingana na hoja zako
Pia nitaonyesha jinsi hoja zako zitakavyoshindwa kufaulu mtihani mdogo tu wa kimantiki
Haya Lete hoja!
Absolutely rightVery good questions, but if God brought rain for 40 days, day and night, then all is possible to him, no need of searching for answers to these questions...
Kama huamini katika biblia inakuwaje unaamini kuwa Nuhu alikuwa mlevi na mwanae akamcheka?nuhu pia alikuja kuwa mlevi mkuu, hadi kuna mtoto wake mmoja akamcheka akiwa uchi alafu akalaaniwa
SAFINA ILIGOTA KWENYE KILIMA GANI VILEE!!! HIVI NI KIREFU KULIKO KILIMANKYAROYaaan najaribu kufikiria jinsi alivokaa na madinosauria au yale repture..kwenye hilo safina...yaaan lisafina lazma lilikuwa likubwa sana...urefu nadhan lilikuwa linazidi world trade center towers...!..mie nadhan hapa wacha niamini tu bila logic....after all that is what religion demands....dah! Ila....poa tu lakin!
SAMAHANI MKUU NAOMBA KUULIZA,HII YA NUHU KUWA MLEVI NA KUCHEKWA NA MWANAE IMEANDIKWA KATIKA KITABU GANI?.MAANA NAONA TUUU INAZUNGUMZIWA.Kama huamini katika biblia inakuwaje unaamini kuwa Nuhu alikuwa mlevi na mwanae akamcheka?
Naona unabase kwenye negativity.
We ulijuajeAlikuwa n maana yake kuwakusanya wanyama,, angeamua kuwauwa wote hadi Nuhu ili aanze kuumba upya,, but ilimpendeza kufanya hivyo kwa ajili ya ushuhuda