Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Maswali kuhusu Nuhu na gharika kuu

Aaaa wapi, mi naona ni riwaya tu tena mtunzi mwenyewe kajikanyagakanyaga tu
Basi kuna masikini wa Fikra humu ndani wanalazimisha hadithi iwe ukweli

Kisa cha Nuhu ni uongo tu,unaopingana na sayansi pamoja na historia

Anayebisha,alete hoja zake,na mie nitaleta zangu tuzichambue

Na pia unaamini Mungu yupo?
 
Uwezekano wa Mungu kuwepo ni mkubwa kuliko story ya Nuhu na ile ya Mnara wa babeli
 
Bujibuji said:
Bible is very spiritual, wee peleka maswali yako ya kiandishi habari,
Spirituality bila mantiki ni uwendawazimu

Maswali yameletwa,tuyajadili na tuyachambue

Maswali hayohayo unayoyapuuza yametoka katika Biblia hiyohiyo unayoitukuza
kamwe hutoijua wala kupata majibu.
Hakuna maswali yasio na majibu

Wewe ndio umeshindwa kuyajibu.Maswali yanaoneka magumu kwasababu kisa chenyewe kinachotakiwa kutupa majibu ni cha Uongo
Nyenyekeeni chini ya mkono ulio hodari ..... bila unyenyekevu na hofu ya Mungu wewe ni si kitu
Umeshindwa kujibu umeamua kuhubiri,

Sasa tutaokokaje kama tunawasiwasi moyoni?

Ondoa wasiwasi wetu,kwa kujibu hayo maswali.
 
Uwezekano wa Mungu kuwepo ni mkubwa kuliko story ya Nuhu na ile ya Mnara wa babeli
Kinyume chake,uwezekano wa Mungu kuwepo ni mdogo sana kuliko kisa cha Nuhu na mnara wa Babeli

Lete hoja mezani,ambazo unadhani zinathibitisha uwepo wa Mungu

Na mie nilete zangu ambazo zinapingana na hoja zako

Pia nitaonyesha jinsi hoja zako zitakavyoshindwa kufaulu mtihani mdogo tu wa kimantiki

Haya Lete hoja!
 
Alikuwa n maana yake kuwakusanya wanyama,, angeamua kuwauwa wote hadi Nuhu ili aanze kuumba upya,, but ilimpendeza kufanya hivyo kwa ajili ya ushuhuda
 
Aliembashiria kuja alishakuja, ni MUHAMMAD (S.A.W) Mtume wa ulimwengu wote,na alikuja na kitabu cha ulimwengu wote kisicho na Shaka ndani yake,na ni mtume wa mwisho,
Ha ha ha ha ha umenifurahisha sana,sasa si ulisema kuwa Yesu alikuwa ni kwa ajili ya waisrael tu maanake hata Mohamed alikuwa ni wa Wasaud tu,sasa sisi Waafrika mtume wetu ni nani??
 
mwneyewe nimejiuliza hili swali, yaani alichofanya ni kama mtu kuchoma nyumba ili aue panya wanaokula nafaka zake, wakati alikua na uwezo wa kutumia mbadala mzuri zaidi
halafu anaposema zamani simba wala chui hawakua hatari anamaanisha walikua hawali nyama??
hii story ya nuhu ukiitafakari utaona ni kama zile fable story za darasa la pili wanazosimuliwa watoto ili kuwatisha wawe na maadili
Innalillah wa innalillah rajiun; HAKIKA SISI NI WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA;"" Ndugu zangu huu ni msiba mkubwa waja wa mwenyezi mungu kuingilia na kutoa mitazamo yenu juu ya matendo ya allah hakika mwakosea sana kwa kweli na mungu atunusuru kwa mauzi yetu kwake inshaallah
 
Kinyume chake,uwezekano wa Mungu kuwepo ni mdogo sana kuliko kisa cha Nuhu na mnara wa Babeli

Lete hoja mezani,ambazo unadhani zinathibitisha uwepo wa Mungu

Na mie nilete zangu ambazo zinapingana na hoja zako

Pia nitaonyesha jinsi hoja zako zitakavyoshindwa kufaulu mtihani mdogo tu wa kimantiki

Haya Lete hoja!

Nlimaanisha hivi

Uwezekano wa Mungu kuwepo ni mkubwa kuliko story ya Nuhu na ile ya Mnara wa babeli kuwa ukweli #sarcasm
 
Wapinga Kristo wanaongezeka kila uchao.

Haya yote yameandikwa kwenye Biblia mkiyaona hayo mjue mwisho umekaribia.
 
nuhu pia alikuja kuwa mlevi mkuu, hadi kuna mtoto wake mmoja akamcheka akiwa uchi alafu akalaaniwa
Kama huamini katika biblia inakuwaje unaamini kuwa Nuhu alikuwa mlevi na mwanae akamcheka?

Naona unabase kwenye negativity.
 
Kama huamini katika biblia inakuwaje unaamini kuwa Nuhu alikuwa mlevi na mwanae akamcheka?

Naona unabase kwenye negativity.
mimi sijasema kuwa naamini kuwa Nuhu alikua mlevi, nimemwabia kilichosemwa kwenye bible
 
Yaaan najaribu kufikiria jinsi alivokaa na madinosauria au yale repture..kwenye hilo safina...yaaan lisafina lazma lilikuwa likubwa sana...urefu nadhan lilikuwa linazidi world trade center towers...!..mie nadhan hapa wacha niamini tu bila logic....after all that is what religion demands....dah! Ila....poa tu lakin!
SAFINA ILIGOTA KWENYE KILIMA GANI VILEE!!! HIVI NI KIREFU KULIKO KILIMANKYARO
 
Wapinga Kristo wanaongezeka kila uchao.

Haya yote yameandikwa kwenye Biblia mkiyaona hayo mjue mwisho umekaribia.
mkuu nimeuliza maswali logical kabisa unasema nampinga kristo??
 
Mkuu ukitaka kutumia uhalisia na logic ktk kujibu hayo maswali hutopata majibu kamwe. Chukulia mfano Yona aliyekuwa anakataa kwenda kumtumikia Mungu kule Ninawi. Ila mwisho wa siku alienda,unajua aliendaje?? Alimezwa na samaki na kuenda kutemwa kule.

Ila katika hali kawaida unadhani ni kitu kinachowezekana?

Kwahiyo kama Mungu aliweza kufanya hivyo,basi hakushindwa kutoa ufumbuzi wa maswali yako ambayo unaona hayawezekani.
 
Kama huamini katika biblia inakuwaje unaamini kuwa Nuhu alikuwa mlevi na mwanae akamcheka?

Naona unabase kwenye negativity.
SAMAHANI MKUU NAOMBA KUULIZA,HII YA NUHU KUWA MLEVI NA KUCHEKWA NA MWANAE IMEANDIKWA KATIKA KITABU GANI?.MAANA NAONA TUUU INAZUNGUMZIWA.
 
Back
Top Bottom