Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

Kajisahaulisha hata alivyotusiwa kuhusu kuwashwawashwa 🤣🤣🤣🤣unafiki nao ni kipaji.
JK ni Mswahili kama Waswahili wengine tu wa Pwani. Kuna sehemu alisema JPM alikuwa akimshtaki kwa kaka yake (JK) mara zote alipo mkwaza!! Mara alimpenda sana!! 😇
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi saana kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM arafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuanaJPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona mamvi hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiye kuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?
Wakati mwingine unajiuliza, kuna haja ya mtu kufungua mdomo wake? Ila ndio wanasiasa, lazima aongee!
 
Mimi sijawahi kumchukia JK! Maana katika miaka yake ya Urais, alitupatia stahiki zetu zote mihimu kama watumishi wa umma! Nilicho maanisha hapo ni kwamba, mzee ni mswahili na ana maneno na vijembe vingi.

Ni kawaida sana kwake kumpiga mtu kijembe kwa maneno na misemo tofauti, huku anacheka!
oh, nilikuwa sijakupata vema kiongozi.....uko sawa kabisa!
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi saana kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM arafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuanaJPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona mamvi hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiye kuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?
Kuzinguana binadamu ni kawaida hata wewe unazinguana na wengi mnasuluhisha AMA mnapotezea, magu ni nani ama JK ni nan asiweze kukosana na mtu? Tafuta swali lingine
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi saana kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM arafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuanaJPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona mamvi hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiye kuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?
Anatapatapa. Aliuza nchi Magufuli akaigomboa sasa anachohangaika nacho nini wakati mwamba umeishalala?
 
JK ni Mswahili kama Waswahili wengine tu wa Pwani. Kuna sehemu alisema JPM alikuwa akimshtaki kwa kaka yake (JK) mara zote alipo mkwaza!! Mara alimpenda sana!! [emoji56]
Kama ni kweli alikua akimshtaki kwa kaka ake basi walipendana sana hadi kuwa na ukaribu huo wa kuomba maridhiano kipitia ndugu na kama hakumpenda angetengua zile teuzi...itoshe kusema walikua marafiki ila waligombana hapa mwishoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sijawahi kumchukia JK! Maana katika miaka yake ya Urais, alitupatia stahiki zetu zote mihimu kama watumishi wa umma! Nilicho maanisha hapo ni kwamba, mzee ni mswahili na ana maneno na vijembe vingi.

Ni kawaida sana kwake kumpiga mtu kijembe kwa maneno na misemo tofauti, huku anacheka!

Stahiki wapi, wezi wakubwa nyie
 
Hivi watu hamna la kufanya eti mnahangaika na maisha ya marais wastaafu na wakati nyie ni makapuku tu? Mara huyu kasema hivi yule kasema hvi kwani hata kama ilikua n ukweli mtoa mada ulikua unamjua marehem sana kuliko anayemsemea
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi saana kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM arafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuanaJPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona mamvi hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiye kuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?
then what!???!
 
Utetezi wake umetokana na msisimuko wa msiba aliouona kutoka kwa WANYONGE
Kama vile wengi hamkuwepo wakati ule wa mchakato. JK hakumtaka JPM. Yeye ilisemekana alikuwa anamtaka Membe na Asha Migiro. Wajumbe wengi walikuwa wanamtaka Lowassa. Ili kumrahisishia huyo jamaa yake, Membe au Migiro, akasimamia show, kuhakikisha Lowassa, hapenyi. Wajumbe nao wakiongozwa na MSUKUMA, wakakasirika, na kuamua kumkomoa, kuhakikisha watu wake huyo JK, hawapiti, na kumpa huyo asiyemtaka, yaani JPM!
Wenye kumbukumbu za wakati wa mchakato ule, watakubaliana na mimi!
Na hilo neno "HAPA KAZI TU!", nakumbuka JPM alipokuwa kwenye kampeni, kati ya mkoa mmoja wa kanda ya kati, au ziwa, aliwaahidi wapiga kura kuwa yeye hatakuwa analala, bali atakuwa anafanya kazi usiku na mchana. Akamalizia kwa kusema… "yaani hapa kwangu, itakuwa kazi tu!" Hapo ndiyo ikapatikana hiyo kauli mbiu ya "HAPA KAZI TU!"
 
Hivi watu hamna la kufanya eti mnahangaika na maisha ya marais wastaafu na wakati nyie ni makapuku tu? Mara huyu kasema hivi yule kasema hvi kwani hata kama ilikua n ukweli mtoa mada ulikua unamjua marehem sana kuliko anayemsemea
Sasa kama wewe ambaye siyo kapuku, ungekuwa na la kufanya! ungekuwa na muda kweli wa kuandika huu upupu wako hapa? Hivi kazi ya mitandao nini? Yaani unataka uwapangie watu cha kusema/kujadili! Wewe kama nani hasa?

Mmiliki mwenyewe tu wa JF humuoni akitokwa na mapovu humu! Ila wewe ambaye hata hujulikani unamiliki nini, unakuja kuwapangia watu humu cha kufanya! Jitahidi kuficha hisia zako! Maana kuna baadhi ya wadau wanaweza kukuchukulia kama una ulemavu wa akili.
 
Kwani Mkipendana na Mtu maana yake hamkwazani?

Pengine mwenzetu bado upo Single
JK ni Mswahili kama Waswahili wengine tu wa Pwani. Kuna sehemu alisema JPM alikuwa akimshtaki kwa kaka yake (JK) mara zote alipo mkwaza!! Mara alimpenda sana!! [emoji56]
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi saana kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM arafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuanaJPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona mamvi hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiye kuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?

(iv) Mwisho japo sio kwa umuhimu. Unajuaje pengine watu wanasema chuki zako dhidi ya JPM zimeanza kuonekana zaidi baada ya yeye kuwa tayari ni "Mkuu" kwa maana ya kuwa hukuwa na jinsi tena ya kubaditilisha maamuzi yako?
Yaani hayo ndiyo maswali magumu?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kwani mtu akiwa rafiki yako huwezi kumkwaza? Tena bora JPM alienda kumshitaki kwa broo wake maana angeenda kwa mtu tofauti ingekuwa ni kumfitini Rais kitu ambacho kingemfanya atupwe nje ya ulingo.

Hapo JPM alicheza kama CR 7 maana kwa broo wanajadili kiundugu but tofauti na hapo angepotezwa
 
Back
Top Bottom