Mimi ni mwanasayansi mkuu,na ninacho ongea ndio sayansi yenyewe.Kinachoendelea kwenye C-19 kwa sasa is fake science,kwa hiyo hatuwezi kukubali ujinga huo uwe copied kwenye nchi yetu,we must raise our voices.
Mkuu siku hizi wanasayansi wengine wananunuliwa kwa fedha,sasa tukiwaachia Wanasayansi wa namna hiyo watuamulie mambo yetu, tutaingizwa mkenge sana.
Niseme pia kwamba serikali zinanunuliwa!Katika swala hili hili la C-19,serikali ya Nigeria ilikuwa offered mrungura wa US$ 10 billion na Bill Gates,kwa bahati nzuri serikali ya Nigeria ilikataa.
Labda kuna kitu ambacho watu wengi are ignorant about.Katika swala la C-19,kuna a lot of money at stake za mrungura,kwa kuwa the whole thing is fake,kwa hiyo they buy Governments, ili wakubali utapeli wao.
Furthermore,wenye agenda ya C-19,ambao ni mpango muovu kabisa kuwahi kushuhudiwa kwenye historia ya Wanadamu,ni watu wanaochapisha fedha:US dollars, Shillingi ya Tanzania na zingine nyingi.Hawa sio wengine ila ni akina Rothschild.Hawa watu fedha sio shida kwao,they can literally offer any amount so as to advance their agenda.Infact wana own pia the US Federal Reserve,na Central Banks nyingi za dunia ni zao.Ni shareholders wa the World Bank na IMF,kama hawa-own organizations hizo.
Kwa sababu hiyo lazima tupige kelele ili mamlaka na wale wanaoitwa wanasayansi wanaotuwakilisha wajue kwamba sisi sio mbumbu,tunajua kinachoendelea.
Tabia ya kudhani kwamba serikali za dunia kila wakati zinawatakia wananchi wao mema si sahihi kabisa,kwa kuwa serikali nyingi zimewaingiza wananchi wao mkenge.So people must be vigilant.Kwa bahati mbaya wanadamu kwa ujumla wamelitambua hili when it is too late,a lot of damage has already been done and continues to be done..