Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kutengeneza ugonjwa mkali na kulazimisha watu watumie chanjo sio hadharani ?Kukuua hadharani itamfanya ashtakiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutengeneza ugonjwa mkali na kulazimisha watu watumie chanjo sio hadharani ?Kukuua hadharani itamfanya ashtakiwe
Malaria iliwahi kusimamisha shughuli zozote za kiuchumi worldwide?Imagine chanjo ya malaria imeanza kufanyiwa utafiti lini na hadi leo haijawa aporoved kwa matumizi.
Mkuu asante kwa mawazo yako.Mimi nimechukua Microbiology with specialization in Virology.Niseme hivi,kama mtaalamu wa Microbiology specialized in Virology,kwenye C-19 hakuna Science kabisa,it is fake science.Swala hili ni pana,na naamini kama kweli wewe ni mtaalamu utapenda kupata uncompromized scientistific information around the World regarding the subject of C-19.
As a scientist sikukubaliana na narrative ya the mainstream media,Bill Gates,CDC na hata Anthony Fauci na European Healthy agencies kuhusu C-19.Nilihisi kuna agenda ovu na udanganyifu,kwa kuwa the narrative they were providing was not based on the true science I know.
Baada ya kufanya utafiti wa kina,nimegundua kwamba kweli the whole issue about C-19 is faked and is not based on true science.What does this mean,it means that maamuzi yote worldwide yaliyofanyika kuhusu C-19,ni wrong and uncalled for.
Naomba nikupe link uone taarifa nilizokusanya worldwide kwa nia ya kujua ukweli kuhusu C-19.I hope you will come to the same conclusion as I did,after going through the information.
Please have a good perusal.
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Nimalizie kwa kusema kwamba kama nchi tutakuwa tumefanya makosa makubwa sana kukubali injection ya C-19.Mimi siiti chanjo kwa kuwa sio chanjo.Infact imegindulika kwamba ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.Kama unaelewa maana ya namba 666,utagundua kwamba we are dealing with Lucifer himself.Very scary indeed.
Maswali
1-Iwapo ugonjwa wa mafua ambao mara nyingi husababishwa na virusi vinavyojibadilisha unahitaji chanjo ?
2-Tukija na Chanjo ya corona tuna uhakika gani kuwa kitakachowamaliza wagonjwa si kirusi kingine cha mafua?
3-Kwa nini miaka yote hatujawahi kujadili chanjo za mafua mbalimbali ambayo yameleta madhara in a seasonal way miaka na miaka?
4-Je kama Taifa tumeshajipanga sasa kuwa na chanjo au tiba ya kila ugonjwa unaoongoza kitakwimu?yaani tunaweza kujidai tunaikinga corona kwa chanjo vipi kuhusu mafua mengine ambayo yatuua kila mwaka?
I we ready for the pace of preventing almost every desease ambayo inaua watu wengi kama zilivyo nchi za magharibi?where is the policy of priority on morbidity and mortality prevention in Tanzania?
5-Je Serikali iamue kupambana na corona kwa kutumia rasilimali zote na kuachana na HIV,Malaria,cervical cancer and maternal/perinatal deaths??
6-Je tuendelee kuogopa preassure ya mataifa ya nje kutuamulia ni ugonjwa gani wa kupambana nao na upi tusubiri??
7-Je Takwimu zinatuonesha kuwa tukiendelea na msimamo wetu wa kupambana na corona kwa kutumia njia zote za WHO ukiondoa chanjo tutafail??
8-Je tunao wataalamu wazalendo na ambao sio kasuku wanaoweza kuchambua na kumshauri mhe Rais kuhusu chanjo ya corona?
Nakaribisha arguments za nguvu kuhusu post hii.
Dah,pole mkuu.Tatizo ulilonalo ni knowledge,na obviously hujishuhulishi kabisa kutafuta information una-amini wengine 100% kwa mambo yanayo kuhusu binafsi,that is wrong.Upo msemo usemao la kuambiwa ongeza na akili zako.Mkuu mimi pia ni mtaalamu katika eneo langu na kwa kweli ninaheshimu wataalamu waliobobea katika eneo husika. Wewe kama unavyosema ni mwanasayansi katika eneo linalohusiana na virusi so utakuwa na uelewa mpana katika eneo hilo. Kwa sisi wengine kuelewa issues katika eneo hilo ni ngumu hivyo tunategemea utaalamu na maamuzi ya waliobobea katika eneo hilo.
Sasa katika nchi mbali mbali duniani kuna wataalamu wenzako ambao pia wamebobea kwenye maeneo hayo na wengine wamepewa pia dhamana za kushauri na kufanya maamuzi kwa niaba ya nchi zao. Wengi kwa nchi tofauti tofauti wanasema chanjo zimefuata taratibu za kisayansi na zinafaa kwa matumizi ya binadamu. Na wao wameamua kama jopo la wataalamu na si mtu mmoja mmoja.
Ngoja nikupe mfano wa hizo nchi hapa chini :
Kenya, Uganda, Rwanda, Egypt, Nigeria, Afrika Kusini na nchi nyingine nyingi za Afrika kama sio karibia zote. Sisi Tz wataalamu wetu walikuwa hawajasema. Nao jana pia wameungana na wataalamu wenzao.
Nchi nyingine kama Russia, China, Israel, Sweden, Denmark, Australia, USA, Uholanzi, Canada etc etc wataalamu wenzako wa virology kwenye nchi hizo wote wamekaa na ku-approve chanjo.
Kwa mimi ambaye sio mtaalamu unataka nikuamini mtalaamu wewe na nisiwaamini hao wataalamu wengine wote ?!
Tafuta Mbeki alichosema kuhusu HIV mpaka wakaamua kufanya kila mbinu ovu mpaka akanyang'anywa Urais South Afrika kiaina baada ya miaka mitatu tu,utapata jibu.
Umeeleza mambo ya msingi, ila ulipoingia na nadharia yako ya 666 umenifanya nishindwe kuamini maelezo yako ya awali. Haya mambo ya 666 kwangu naona ni nadharia za kijinga tuMkuu asante kwa mawazo yako.Mimi nimechukua Microbiology with specialization in Virology.Niseme hivi,kama mtaalamu wa Microbiology specialized in Virology,kwenye C-19 hakuna Science kabisa,it is fake science.Swala hili ni pana,na naamini kama kweli wewe ni mtaalamu utapenda kupata uncompromized scientistific information around the World regarding the subject of C-19.
As a scientist sikukubaliana na narrative ya the mainstream media,Bill Gates,CDC na hata Anthony Fauci na European Healthy agencies kuhusu C-19.Nilihisi kuna agenda ovu na udanganyifu,kwa kuwa the narrative they were providing was not based on the true science I know.
Baada ya kufanya utafiti wa kina,nimegundua kwamba kweli the whole issue about C-19 is faked and is not based on true science.What does this mean,it means that maamuzi yote worldwide yaliyofanyika kuhusu C-19,ni wrong and uncalled for.
Naomba nikupe link uone taarifa nilizokusanya worldwide kwa nia ya kujua ukweli kuhusu C-19.I hope you will come to the same conclusion as I did,after going through the information.
Please have a good perusal.
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Nimalizie kwa kusema kwamba kama nchi tutakuwa tumefanya makosa makubwa sana kukubali injection ya C-19.Mimi siiti chanjo kwa kuwa sio chanjo.Infact imegindulika kwamba ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.Kama unaelewa maana ya namba 666,utagundua kwamba we are dealing with Lucifer himself.Very scary indeed.
Mimi hii ya kuthibitisha ndiyo inayo nipa wasi wasi.Tutathibitishaje na nini?So far we know that the C-19 virus has not been isolated.If it has not been isolated, it means it has not been proved to adhere to the Kock's postulates,so it is in essence not a disease.Sasa tunathibitisha nini? Na kama sio disease,how did they develop the the so called vaccine?Huu si utapeli tu tunaofanyiwa,mbona this is clear.Ni lzm ithibitishwe kwanza hatuwezi tumia tu
Mimi hii ya kuthibitisha ndiyo inayo nipa wasi.Tutathibitishaje?So far we know that the C-19 has not been isolated.If it has not been isolated it means that it has not been proved to adhere to the Kock's postulates,so it is in essence not a disease.Sasa tunathibitisha nini? Na kama sio disease,how did they develop the the so called vaccine?Huu so utapeli tu tunaofanyiwa,mbona this is clear.
Furthermore,the American Food and Drugs Administration has categorically said it will not approve any vaccine for C-19,why are we even contemplating recommending it for our people.And do we know why the FDA is saying it won't approve any of the shots?Obviously there is a problem,and the problems are known.So aren't we using our people as Guinea Pigs?Tuwe serious jamani,what is wrong with us mbona mambo yako wazi kwamba C-19 ni utapeli?
These shots are not after all even approved by the criminal WHO,and not even by the European Medicines Agency or Centre.
Hiyo sio dhana ni ukweli mkuu.Sasa kwani wewe unajua kilichopo kwenye hiyo vaccine?Lete contents zake basi kama unazo.Mimi ninazo contents zake zote.Mkuu hivi unajua kwa nini Bill Gates alitoka kwenye computers akaingia kwa wanadamu?Yuko kwenye business ile ile:software,except hapa ana what is called the "Soft Ware of Life" or Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.Umeeleza mambo ya msingi, ila ulipoingia na nadharia yako ya 666 umenifanya nishindwe kuamini maelezo yako ya awali. Haya mambo ya 666 kwangu naona ni nadharia za kijinga tu
Bioweapon hiyo au "Software of Life" kwa maana ya "Microsoft Windows 666 mRNA Operating System" ni hiari,ila nimeshakujuza ubaya wake,usije ukajuta kama wale ambao wameshaipata wanavyo juta.Kila la heri,tutangulie mbele za haki,na sisi tunakuja,damu yako sidaiwi.Ingependeza kama ungekuwa japo verified user.
Kwa sasa ngoja kwanza tupate japo jab moja moja. Ya debate tukiwa angalau tuna matumaini ya kesho.
Mama Samia atatuvusha.
Yaani akili zako wewe,kamasi tupu,hata hoja moja kuhusu C-19 huna,sijui hata kwa nini unashabikia hiyo chanjo,uovu mtupu.Ingependeza kama ungekuwa japo verified user.
Kwa sasa ngoja kwanza tupate japo jab moja moja. Ya debate tukiwa angalau tuna matumaini ya kesho.
Mama Samia atatuvusha.
Mkuu nacheka sana.Wenyewe wanakiri hiyo dhana kwamba ni kweli na ni identification number ya Mungu wao Lucifer,sasa wewe utakataa je?Fanya independent research basi, mbona you can.Na hivii, mbona ipo kwenye products nyingi sana siku hizi,including barcodes.Mkuu be more diagnostic,usikatae kitu bila justification.Umeeleza mambo ya msingi, ila ulipoingia na nadharia yako ya 666 umenifanya nishindwe kuamini maelezo yako ya awali. Haya mambo ya 666 kwangu naona ni nadharia za kijinga tu
Nakuunga mkono almost 95% mkuu.Tatizo lako ni moja tu,hujui Corona ni nini na mkakakati uliopo nyuma ya C-19!Nakusihi with all due respect upitie taarifa zifuatazo uji-equip vizuri na taarifa kuhusu C-19.Otherwise👊.Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.
Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.
Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.
Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.
Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.
Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?
Na Chadema nao wanashqngilia?
___Hey, what is wrong with you?You seem to be interested so much in my comments wakati huna lolote unaloniongezea,ni upupu mtupu.Kama huna la maana kaa mbali na comments zangu Brazaj.Ingependeza kama ungekuwa japo verified user.
Kwa sasa ngoja kwanza tupate japo jab moja moja. Ya debate tukiwa angalau tuna matumaini ya kesho.
Mama Samia atatuvusha.
Mkuu asante sana kwa huu uzi, najua wengi watapinga kwa ajili ya manufaa yao, kifupi mimi na familia yangu hatutachanja, kama ni kukosa huduma wacha tuzikose, kama ni nikuosa safari za kwenda nje ya nchi waache nizikose, mwishowe kuna siku hawa hawa wanotoa hizi dawa bure wataanza kuziuza na kwa kuwa walishaingiza virusi vyao kwenye miili yetu basi watatuaminisha na itakuwa hivyo kuwa ili uendelee kuishi fanya hivi kwa kutoa pesa kiasi fulani,wenzetu wanatajirika kwa kutumia teknolojia, muda si mrefu tunaweza ambiwa wale wote waliochanjwa itabidi wanununue chip na kuwekwa mwilini ndio uishi na huku tayari ushafanywa sawa tayari Faru John ambaye hata uende wapi utajulikana upo wapi na unafanya nini ,au tuzime hiyo chip na ufilie mbali.Mkuu asante kwa mawazo yako.Mimi nimechukua Microbiology with specialization in Virology.Niseme hivi,kama mtaalamu wa Microbiology specialized in Virology,kwenye C-19 hakuna Science kabisa,it is fake science.Swala hili ni pana,na naamini kama kweli wewe ni mtaalamu utapenda kupata uncompromized scientistific information around the World regarding the subject of C-19.
As a scientist sikukubaliana na narrative ya the mainstream media,Bill Gates,CDC na hata Anthony Fauci na European Healthy agencies kuhusu C-19.Nilihisi kuna agenda ovu na udanganyifu,kwa kuwa the narrative they were providing was not based on the true science I know.
Baada ya kufanya utafiti wa kina,nimegundua kwamba kweli the whole issue about C-19 is faked and is not based on true science.What does this mean,it means that maamuzi yote worldwide yaliyofanyika kuhusu C-19,ni wrong and uncalled for.
Naomba nikupe link uone taarifa nilizokusanya worldwide kwa nia ya kujua ukweli kuhusu C-19.I hope you will come to the same conclusion as I did,after going through the information.
Please have a good perusal.
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Nimalizie kwa kusema kwamba kama nchi tutakuwa tumefanya makosa makubwa sana kukubali injection ya C-19.Mimi siiti chanjo kwa kuwa sio chanjo.Infact imegindulika kwamba ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.Kama unaelewa maana ya namba 666,utagundua kwamba we are dealing with Lucifer himself.Very scary indeed.
Sikiliza hizi clips mkuu,zitakusaidia sana kujua the story behind C-19.Mkuu asante sana kwa huu uzi, najua wengi watapinga kwa ajili ya manufaa yao, kifupi mimi na familia yangu hatutachanja, kama ni kukosa huduma wacha tuzikose, kama ni nikuosa safari za kwenda nje ya nchi waache nizikose, mwishowe kuna siku hawa hawa wanotoa hizi dawa bure wataanza kuziuza na kwa kuwa walishaingiza virusi vyao kwenye miili yetu basi watatuaminisha na itakuwa hivyo kuwa ili uendelee kuishi fanya hivi kwa kutoa pesa kiasi fulani,wenzetu wanatajirika kwa kutumia teknolojia, muda si mrefu tunaweza ambiwa wale wote waliochanjwa itabidi wanununue chip na kuwekwa mwilini ndio uishi na huku tayari ushafanywa sawa tayari Faru John ambaye hata uende wapi utajulikana upo wapi na unafanya nini ,au tuzime hiyo chip na ufilie mbali.