donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
wakuu mimi naomba jinsi ya kupata free VPN au software yoyote inayo fanana na hiyo, ili kufungua website, maana hapa kuna huduma zipo restricted, na kudownload inakuwa slow sana!!
Waungwana nitashukuru kwa msaada wenu.
SP
Ur welcome mkuu!
Hapa napunjwa,nataka kuidownload na kuinstall..nifanyeje?
Afu pia antvirus(ESET NOD32 Antivirus) nayo imekua outdated(license expired)...natakiwa kufanyaje?
Cc Young Master
My favorite yify jamaa quality na speed.
aya sasa naombeni majina ya movies ambazo ni kali ili nizitafute
hawa wote ni torrent index sites, hawastore torrent ila wanaindex kama google wanavoindex webpages... ila zipo sites ambazo zina store torrent kama thepiratebay na wengineo. mimi pia mostly natumia kat.ph kuzisaka torrent za yify maana uwa zikitoka tu uwa watu wengi wanazikimbilia muda mchache tu utaona tayari seeds kibaoI used to like btjunkie.org until it was shut down lol...
Baada ya hapo nikahamia zangu Kick Ass na Extratorrent
Nomaa SanaaNitext baadae kwenye namba yangu kama bado unayo ili nikuelekeze cha kufanya.
Mkuu pale kwenye kusearch kwa hii yfy-torrents.com andika 2013, zitakuletea muvi za aina zote za mwaka huu, ubaki mwenyewe tu kuchambua kama karanga!
hawa wote ni torrent index sites, hawastore torrent ila wanaindex kama google wanavoindex webpages... ila zipo sites ambazo zina store torrent kama thepiratebay na wengineo. mimi pia mostly natumia kat.ph kuzisaka torrent za yify maana uwa zikitoka tu uwa watu wengi wanazikimbilia muda mchache tu utaona tayari seeds kibao
zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
Kweli penye wengi hapaharibiki jambo, kuna vitu vingi sana sikuwa nikivifahamu isipokuwa kupitia huu uzi sasa ninapo pa kuanzia.
Big up kwa wadau wote
...poua nitakutafutaNitext baadae kwenye namba yangu kama bado unayo ili nikuelekeze cha kufanya.
Nomaa Sanaa
Ha ha haaa!!! Utanikubali tu kaka...chezea Young Master weye!!!