Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

wakuu mimi naomba jinsi ya kupata free VPN au software yoyote inayo fanana na hiyo, ili kufungua website, maana hapa kuna huduma zipo restricted, na kudownload inakuwa slow sana!!
Waungwana nitashukuru kwa msaada wenu.

SP

Ungeelezea mkuu upo sehemu gani kama ni cafe etc. Na wamezuia kitu gani hapo pasi shaka utapata msaada!
 
I used to like btjunkie.org until it was shut down lol...

Baada ya hapo nikahamia zangu Kick Ass na Extratorrent
hawa wote ni torrent index sites, hawastore torrent ila wanaindex kama google wanavoindex webpages... ila zipo sites ambazo zina store torrent kama thepiratebay na wengineo. mimi pia mostly natumia kat.ph kuzisaka torrent za yify maana uwa zikitoka tu uwa watu wengi wanazikimbilia muda mchache tu utaona tayari seeds kibao
 
Mkuu pale kwenye kusearch kwa hii yfy-torrents.com andika 2013, zitakuletea muvi za aina zote za mwaka huu, ubaki mwenyewe tu kuchambua kama karanga!

Kweli penye wengi hapaharibiki jambo, kuna vitu vingi sana sikuwa nikivifahamu isipokuwa kupitia huu uzi sasa ninapo pa kuanzia.
Big up kwa wadau wote
 
hawa wote ni torrent index sites, hawastore torrent ila wanaindex kama google wanavoindex webpages... ila zipo sites ambazo zina store torrent kama thepiratebay na wengineo. mimi pia mostly natumia kat.ph kuzisaka torrent za yify maana uwa zikitoka tu uwa watu wengi wanazikimbilia muda mchache tu utaona tayari seeds kibao

Now i got you...lemme be your follower in this
 
Mi wanataka hadi details za kadi yangu. If its free why ask for card? Pia nimejaribu kufungua lakini faili halifunguki! Why this?
 
Back
Top Bottom