Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Aisee hata mimi binafsi sikutegemea kama nitaipenda..
Inahusu politics, corruption, intelligence, propaganda, mapenzi pia yamo.. All the things politicians do to stay in power, all the things politicians do kuwanyamazisha watu wanaotaka kuvujisha siri zao. Ni nzuri sana.
Huyo rais wa US anaitwa Frank Underwood ni hatari [emoji23], kila muda anakwaruzana na rais wa Russia.
Underwood pia yuko vizuri ku manipulate hata wafanyakazi wake wa karibu ndani ya Whitehouse wasimsaliti, wakimsaliti anawatisha wazi wazi aidha kuwapoteza au kuvujisha siri zao au kuwaondoa madarakani, hatari
Nimetokea kuipenda kwa kweli ingawa sipendi siasa
Imetafsiriwa kiswahili?
 
Wakuu mko aje, naomba kujuzwa njia ya kudownload movies with English substittles. Kwa sasa natumia showbox kudownload movies ila haina substittles, hivyo kiukweli saa nyingine inanipa shida kuelewa baadhi ya maneno kwenye movies, lakini nadhani movie ikiwa na english substittles nitaelewa kila kitu na nitainjoi sana.

Msaada pliz
 
#ukitumia torrent ndy movie zinakuja na subtitles ila piah unaweza kudownload subtitles peke yake na huka add kwenye player pindi #unapo play hiyo movie.
 
Naomba nielekeze jinsi ya kudownload subtittles pekeyake mkuu
#ukitumia torrent ndy movie zinakuja na subtitles ila piah unaweza kudownload subtitles peke yake na huka add kwenye player pindi #unapo play hiyo movie
 
Kama unatumia vlc kwenye pc wakati unawatch movie fungua "view" kisha "vls" then "download subtitle" kisha pembeni search by harsh. Then subiri isearch itakuletea list ya subtitle za hiyo movie. Kisha chagua ambayo inaendana na quality ya movie yako.

Enjoy.
 
Ukitumia hiio site ya iliyoandikwa hapo kwenye muvi hua inakuja directly na subtitles. MkvCage.Ws
Kama unatumia vlc kwenye pc wakati unawatch movie fungua "view" kisha "vls" then "download subtitle" kisha pembeni search by harsh. Then subiri isearch itakuletea list ya subtitle za hiyo movie. Kisha chagua ambayo inaendana na quality ya movie yako.
Enjoy...!!!
Screenshot_2019-10-01-08-00-31.jpeg
 
Wakuu mko aje, naomba kujuzwa njia ya kudownload movies with english substittles. Kwa sasa natumia showbox kudownload movies ila haina substittles, hivyo kiukweli saa nyingine inanipa shida kuelewa baadhi ya maneno kwenye movies, lakini nadhani movie ikiwa na english substittles nitaelewa kila kitu na nitainjoi sana. Msaada pliz
Kama muvi haina subtitles ingia www.opensubtitles.com ndio napenda kutumia hii site kupata subs.. then pakua.

Kama unatumia simu Samsung kuna system software yake inaitwa Video inakubali ku Add subtitles (Teckn na zinginezo sijui sijawahi zitumia. Kama huja simu hii basi pakua VLC .
App yenyewe ni hio ya blue

Ukishapakua subtitles zako.. nenda kachecheze muvi unayoitaka kisha bonyeza kulia kwenye toolbox itakuonyesha options mbalimbali kisha chagua subtitles.

Kisha itakuletea dialog box uweke subtitles unazotaka.. then ibonyeze subtitles utakua umeweza kuziweka

NB. Subtitles zote zinakua kwenye mfumo wa Zipped ambao itakubidi ukonveti kwenda srt file kwa kutumia 7Zipp au programa zozote za ku-Unzipp files.
Screenshot_2019-10-01-08-10-10.jpeg
Screenshot_2019-10-01-08-10-40.jpeg
 
Yeah chagua lako tu unapenda lugha ipi..
Napendaga sana kitamir japo sielewi😀😀
Kuna movie ya the huntsman winter war. Nilikutaga kwenye dual audio nikawa napenda sana kuiangalia ikiwa inazungumzwa kitamir.
 
Ingia google andika jina la movie yko kisha malizia subtitles mfano jupitersubtitles then search zitakuja link kadhaa za kudownload hiyo subtitles chagua moja kisha download ni ni k'winrar file kidgo tu ukubwa wake hata Mb 1 akfiki
Shukran mkuu
 
Thanks for this
Kama unatumia vlc kwenye pc wakati unawatch movie fungua "view" kisha "vls" then "download subtitle" kisha pembeni search by harsh. Then subiri isearch itakuletea list ya subtitle za hiyo movie. Kisha chagua ambayo inaendana na quality ya movie yako.
Enjoy...!!!
 
Copy movie jina kama lilivo

Paste in your browser

Add neno srt mbele hii ni popular subtitle extensions

Then pakua from different sites displayed
 
Back
Top Bottom