Aisee hata mimi binafsi sikutegemea kama nitaipenda..
Inahusu politics, corruption, intelligence, propaganda, mapenzi pia yamo.. All the things politicians do to stay in power, all the things politicians do kuwanyamazisha watu wanaotaka kuvujisha siri zao. Ni nzuri sana.
Huyo rais wa US anaitwa Frank Underwood ni hatari [emoji23], kila muda anakwaruzana na rais wa Russia.
Underwood pia yuko vizuri ku manipulate hata wafanyakazi wake wa karibu ndani ya Whitehouse wasimsaliti, wakimsaliti anawatisha wazi wazi aidha kuwapoteza au kuvujisha siri zao au kuwaondoa madarakani, hatari
Nimetokea kuipenda kwa kweli ingawa sipendi siasa