The Boss hakuna makato yanapelekwa kwenye vyama vya makocha wala waamuzi.TFF ndiye msimamizi wa mpira nchini na ndiyo inaamua kipi kiende wapi kwa faida ya mpira wetu.
ikizu kamwe siwezi kuagiza jambo kama hilo.
Shukrani ila kiukweli Tunahitaji Mrejesho wa sintofahamu hii.sina uhakika na hili,itabidi kupitia mkataba wa makubaliano kati ya vilabu hivi viwili.
labda utuwekee hapa hayo makato tuyajadili
sababu hiko kitu kina discourage watu kuanzisha team
ikipatikana milioni 100 klabu inaambulia chini ya milioni 40
hebu tuwekee hapa jedwali la makato
Mheshimiwa Jamal Malinzi tungependa kujua kuhusu ule mchakato wa jezi mpya za Taifa Stars. Vipi, mmefikia wapi hadi sasa?
maana mlitangaza ya kuwa mtawajulisha watanzania mapema tu.
Ile 5%...kutoka ktk tiketi kwa ajiri ya soka la vijana...vipi?The Boss kwa hesabu za haraka haraka tuseme mbeya city vs prisons zimepatika sh mia moja:
Itakatwa VAT 18%,itakatwa uwanja 15%,zitakatwa gharama za mchezo kama ulinzi,tkt nk 8%,kisha zitakazobaki vitagawana vilabu,TFF na bodi ya ligi.
The Boss kwa hesabu za haraka haraka tuseme mbeya city vs prisons zimepatika sh mia moja:
Itakatwa VAT 18%,itakatwa uwanja 15%,zitakatwa gharama za mchezo kama ulinzi,tkt nk 8%,kisha zitakazobaki vitagawana vilabu,TFF na bodi ya ligi.
Bwana Malinzi ahsante kwa kuchukua muda wako kujibu maswali yetu.
Nina swali au maswali kuhusiana na uwanja wa nyamagana mwanza
1. Uwanja kwa sasa unawekwa nyasi bandia, niliona sehemu kwamba utajengwa majukwaa na kuwekewa taa, je hii ni kweli kwamba utajengwa majukwaa na kufungwa taa?
2. Yakijengwa majukwaa utakuwa na capacity ya kuchukua watu wangapi?
3. Hela zilizotolewa na fifa pamoja na jiji la mwanza zinatosha kufanya kazi yote hii?
4. Vipi kuhusu parking maana pale ni katikati ya mji na hakuna parking wala eneo la kutosha kujenga parking, mmejiandaaje kwa hilo?
5.kazi yote hiyo ikifanyika utaisha kujengwa lini ?
Ni hayo tu, kama unaweza kupost picha ya namna uwanja utakavyokuwa ukiisha itakuwa nzuri zaidi. Ahsante