Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

RAIS naomba nijue nani kapewa kukaimu nafasi ya Mwakibinga?
 
Simbajr kwa mfumo wa kimahakama tuliojiwekea si vyema adminstrators tukazungumzia maamuzi ya judicial commitees,nikuhakikishie haki ilitendeka.

Malinzi kiuhakila kabisa haki haikutendeka ktk suala la kumfungia Ndumbaro, naamini hata wewe unafahamu hilo, au wewe na kamati yako mkiambiwa Ndumbaro kosa lake ni nini? Naamini hamtakuwa na jibu la kisheria kwa sbb yeye aliteuliwa na vilabu kama MWANASHERIA na siyo mjumbe wa bodi ya ligi, kwa maana hiyo alikuwa pale kusimamia maslahi ya waliomteua( vilabu) na siyo bodi ya ligi.
Kamati yenu ilikuwa na uharaka gani wa kutosubiri Ndumbaro arudi safari yake ili aweze kujibu hoja zenu ili km ni adhabu basi itolewe baada ya kumsikiliza na pia alishatoa taarifa akiambatanisha na tiket ya safari husika, ndio maana familia ya wapenda soka tunaamini kuna njama za kuficha udhaifu wenu ktk uongozi na tuhuma zingine za ubadhirifu ktk shirikisho.
2.Pia kuna suala la Mwenyekiti wa matawi ya Simba Tmk kuzuiwa kuingia taifa kuangalia soka na Wilfred Kidau kwa maagizo yako na baadae kumpakazia kesi ya kumtusi kidau, kisa ni kuwa huyo Mkiti amesikika kny vituo vya radio akikupinga kutokana na tabia yako uliyoionesha ya kibabe, ebu tupe ufafanuzi wa haya masuala mawili. Kiukweli ule uwanja siyo wa TFF, pia mtu ambaye ana kitambilisho kinachotambuliwa na wadau wote ikiwemo TFF kwanini azuiwe kuingia taifa, hapo ndio mnapotuhumiwa kuwafunga watu midomo ili wasiseme mabaya yenu, ila kumbuka anaekusifu bila kukueleza na mabaya yako hakutakii mema na ndio mbaya kwako.
3. Msipojibu hoja zinazotolewa na familia ya wapenda soka basi tunaamini mtakuja kutoka kwa aibu hapo TFF HQ kwa kutofanya lolote ktk kuendeleza soka, kwani mpaka hivi sasa unashindwa kuendeleza yaliyofanywa na mtangulizi wako.
Hautakiw ufananishwe na mkiti wa zamani (FAT) sasa TFF Ndolanga.
FAMILIA YA SOKA TUNAAMINI NA TUNAHITAJI UFAFANUZI WA KINA KTK HOJA ZINAZOTOLEWA NA WADAU WA KANDANDA KUTOKA KWENU TFF, SIYO UBABE NA VIFUNGO VISIVYO NA HOJA.
NB: PIA MWAMBIE KIDAU SIKU AKIMZUIA MKITI WA MATAWI YA TMK ASIINGIE TAIFA HATATOKA SALAMA HUO NDIO UKWELI NA HATUITAJI KUBURUZWA.
AHSANTE!
 
Last edited by a moderator:

marimba hoja za msingi wakati wote zinajibiwa,katu huwa siogopi kujibu hoja.Nilikwishasema judicial bodies zikishatoa ruling that's it huwa hatuwezi kuingilia.Right of admission mpirani ni WA match organizer
 
Kifungo cha miaka saba ni kidogo sana kwa mtu kama Ndumbaro anayeleta uchochezi na maasi katika mpira wa Tanzania. Ningefurahi kama angefungiwa 'maisha'.
 
TFF hii ya kwako mkuu hamna kitu kama FAT tu enzi hizo sioni haja ya wewe kukaimu shughuli karibu zote kwanini most of the time wewe ndo unakua msemaji stay as a president mambo ya mipasho tupa kulee
 
Malinzi ia a disgrace to our soccer.....Namuomba Mungu amrudishe Tenga
 
And what did Tenga achieve in his NINE years in power? Isn't a disgrace to compare a one-year reign to a nine-year reign unless if someone has his own personal agenda or suffering from myopic reasoning disease?

Hata Mungu atatushangaa tukimuomba kumrudisha mtu ambaye chini ya utawala wake Taifa Stars ilishindwa kufuzu kwenye AFCON tano, 2006, 2008, 2010, 2012, 2013

Our love for mediocrity is astonishing.
 
Ndugu zangu naomba tufuatilie kwa karibu maandalizi ya mashindano ya Taifa mpira wa miguuwatoto umri chini ya miaka 13. Mikoa iko kwenye maandalizi na fainali zitafanyika Mwanza mwishoni mwa Desemba mwaka huu. Baada ya fainali hizi itaundwa kombaini ya Taifa na kulelewa pamoja kuelekea fainali za Afrika umri chini ya miaka 17 mwaka 2019,fainali ambazo Tanzania tumeomba kuwa wenyeji na tukifanikiwa itakuwa ni kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.Imani yetu ni kuwa tutakuwa tumejenga msingi imara wa Timu ya Taifa kuelekea Afcon 2021 na 2023.
 
TFF hii ya kwako mkuu hamna kitu kama FAT tu enzi hizo sioni haja ya wewe kukaimu shughuli karibu zote kwanini most of the time wewe ndo unakua msemaji stay as a president mambo ya mipasho tupa kulee
MWANGUKU amanyise ninakuomba ufuatilie kwa karibu programu zetu za vijana,kwa mfano fuatilia:
- mpango wa kuunda kikosi cha Taifa cha watoto umri chini ya miaka 13 kitakachokua pamoja kuelekea fainali za Afrika umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.
- mpango wa kuunda kikosi cha taifa umri chini ya miaka 14 mwaka huu,kikosi kitakachokaa pamoja LordBaden school kujiandaa na Africa qualifiers under 17 mwaka 2016
- mpango wa Taifa wa kuhakikisha kila mkoa unakuwa na youth football centre kwa ajili ya age group 8-17
- uanzishwaji wa kombe la Taifa la wanawake Desemba mwaka huu
-uanzishwaji wa Federation cup (kama kombe la FA) mwakani
-Fuatilia kwa karibu training kubwa ya makocha leseni za CAF,such a massive training programme for coaches has never happened in Tanzania. Tumefanya hivi baada ya kung'amua bila walimu wa kutosha nchii hii mpira hautafundishika
- Tunao watoto wanakaribia mia moja Dar,Moro,Mwanza ambao wana umri kati ya miak 11-15 wanafundishwa uamuzi wa mpira,30 kati yao wamekwisha fanya kozi ya FIFA,hawa ndo waamuzi wa baadae ambao tunaamini kwa programu tuliyowatengenezea watakuja kuwa marefa Afcon na world cup finals.
Ndugu zangu yote yanawezekana kikubwa ni mshikamano.Pamoja tutajenga.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa response mkuu raisi Jamal Malinzi pia angalau napata picha kinachoendelea TFF lakini mkuu huoni kama una mambo mengi kufanya kwa muda mfupi huoni hili litaleta shida ukizingatia rasilimali pesa inaweza kuwa shida kwann usiwe na mambo machache na uyape kipaumbele?
 
Hamna kitu hapo, kiini macho tu hicho

Upinzani siyo kukanusha ama kukataa kila kitu kinachofanywa na mpinzani wako. Hata kama humpendi Jamal Malinzi ufike wakati ukubali hata jambo moja zuri linalofanyika siyo kila siku 'Hakuna kitu hapo'.
 
Last edited by a moderator:
Jamal Malinzi nasikia mashindano ya VIJANA ya TIMU B za vilabu hayatakuwepo mwaka baada ya alikua akisaidia na si kudhamini kampuni ya SSB kupitia UHAI na kuitwa UHAI CUP kujitoa....hii unaizungumziaje ukizingatia ulikuwa ukitambulisha kama muumini wa SOKA la VIJANA inakuaje tunakosa UDHAMINI wa hayo MASHINDANO?...je tutaunda timu bora ya taifa kwa mtindo huu?...TFF mlipotangaza kuwa mnataka kuwa wenyeji wa mashindano ya VIJANA africa mlikua mnajua hao vijana pakuwapata...
 
Achana na Malinzi, yeye anajali maslahi yake tu si mpira as such, hata akitoa povu kuwa anataka kuendeleza mpira wa vijana. Ndiyo hao hao wakina James Rugemalila, utapeli tu
 
Ligi ya wanawake...FDL...kapata mdhamini mr johson lukaza(EPA..) wa nyumbani kwao huyu...tuombee na huyo wa Escrow aingie ktk udhamini TFF..
 
Jamal Malinzi nasikia mashindano ya VIJANA ya TIMU B za vilabu hayatakuwepo mwaka baada ya alikua akisaidia na si kudhamini kampuni ya SSB kupitia UHAI na kuitwa UHAI CUP kujitoa....hii unaizungumziaje ukizingatia ulikuwa ukitambulisha kama muumini wa SOKA la VIJANA inakuaje tunakosa UDHAMINI wa hayo MASHINDANO?...je tutaunda timu bora ya taifa kwa mtindo huu?...TFF mlipotangaza kuwa mnataka kuwa wenyeji wa mashindano ya VIJANA africa mlikua mnajua hao vijana pakuwapata...

halafu 5% ya makato ya vilabu yanaenda wapi wakati tuliambiwa yanaboresha msingi wa mpira hasa vijana ?? Mi nishamuuliza hili toka wiki iliyopita ktk thread ya Tff lakini hakuna majibu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom