Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Wewe unatongoza wanafunzi wa primary, sababu hata wa secondary hawana ujinga huo!!
Ila kina sie swali la kwanza, “Unajishughulisha na nini?!!”
Kwanza tujue uhakika wa pesa upo kwa asilimia ngapi? Sio huduma ziwe za kusuasua
Aisee mimi nakuambia mimi ni dalali wa vyumba, nikitaja kazi yangu niko pale.
 
Hakuna upuuzi na chukia sana kama mwanamke aniulize kwanini niliachana na mpenzi wangu aliyepita alafu hapo hapo anakuambia sasa uzuri wangu ni nini mpaka unipende?

Yani nachukia sana na akifanya mistake tuu akachanua naongeza single mother chapu
Sijaona kosa lake kuuliza kwanini uliachana na mpenzi wako, kwani na yeye mwenyewe sianataka kulinda amani ya moyo wake. Kama mtu ni muhuni na malaya ni muhuni na malaya tu habadiliki hivyo hana muda wa kuendeleza maongezi zaidi.
 
Wewe unatongoza wanafunzi wa primary, sababu hata wa secondary hawana ujinga huo!!
Ila kina sie swali la kwanza, “Unajishughulisha na nini?!!”
Kwanza tujue uhakika wa pesa upo kwa asilimia ngapi? Sio huduma ziwe za kusuasua
Mimi ni mkulima ukacheka sana
 
Huyo sio mwanamke wala msichana anayejibu hivyo, ila ni mtoto mdogo wa kike.

Wakulungwa wanajibu hivi "Utaweza kunihudumia?"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kutongoza watoto.
Eti wakulungwa 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom