Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Haya mambo uulizwe na watu wako wa karibu ni sawa sio unakutana na mtu ana watoto wake7 kama mama D halafu anakuuliza Rory una watoto wangapi? Unamwambia sina. Anaendelea umeolewa? Unamjibu hapana. Anaongeza tafuta mwanaume wewe uzae.... unazeeka[emoji41]

Hahahahaa

[emoji23][emoji23][emoji23] Yani
 
Hayo ni maswali ambayo hayapaswi kuulizwa mtu kisaikolojia ktk jamii ya werevu.

Kama Kuna sababu ya kutaka kumjua mtu kuhusu hayo you will eventually know him/her bila kumuuliza directly.
 
Mtindo wa ufuatiliaji wa maisha binafsi ya watu hazalisha maswali yasiyo na tija ya mtindo huo.
 
Back
Top Bottom