Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

Majority ya wanaouliza hayo maswali ni watafuta habari tu wapate cha kusema na anauliza ili ajilinganishe na yeye kuona amefanikiwa kiwango gani roho yake isuuzike
Arrival mentality

Wachache sana wanauliza genuinely
 
Interviewers wagomvi sana.
Anyway binafsi ijawah faul usahil woote toka kuumbw kwa dunia..Kaz nilizofanya ni za michongo tuu 😁

Mbaya ni kwamba wengi wanauliza haya wakiwa hawana nia yoyote yenye manufaa kwako
 
Swali la kuudhi na jibu la kuudhi[emoji1787]
Nikere nikukere[emoji850]

Huyo mwamba hatakaa maishani mwake aulize tena mtu swali kama hilo
Kila akiwaza kuuliza anakumbuka jibu amazing pengine lililomsababishia machungu kuliko aliyosababisha kwa mwenzie
 
Mbaya zaidi anayemuuliza kuhusu watoto yuko na uhitaji mkubwa na anapambana kwa tiba na maombi ndani na nje ya nchi bila mafanikio

Halafu yeye anamwambia tafuta mwanaume yoyote uzae nae.... simple hivyo🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndo utaonekana una stress

Abram (father) was a friend of yhwh, and he (yhwh) named him Abraham (father of nations). By then Abram never had a child... Eventually Abraham has eight (8) sons (Ishamel, Isaack) and six other sons.

Nowadays, Abram, baptized Abraham by yhwh is indeed a father a many nations...not just few (eight) sons.

Abram alias Abraham remains a good friend of yhwh.

how about that yhwh?

Happy holidays. Enjoy!
 
Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza.
Tena heri haya maswali yatoke kwa mzazi au mtu wa karibu kuliko ilivyo kawaida kwa sasa.

Watu tujue kuwa single au kuwa kwenye mahusiano ni hali tuu kama ilivyo kuwa na kitu flani au kukosa kitu kingine kwenye maisha

Mtu anaweza kuwa single hajawa tayari kuingia kwenye jukumu la ndoa, sio sababu amekosa mtu wa kuoana nae kama wengi wanavyodhani

Kuna wakati mtu anakua single lakini anatamani sana kuwa ndani ya mahusiano ila anashindwa sababu hajampata mwenye sifa anazotaka

Wakati mwingine mtu yuko single sababu hana uwezo wa kuwa na mahusiano labda ana mapungu aliyozaliwa nayonayo

Na pia mtu anaweza kuwa single sababu alishapitia mahusiano yakamvuruga na kumpa maumivu makubwa sana, kwa hiyo kwake kuwa peke yake ndio amani

Ndoa na familia ni jambo la heri kwa wanadamu lakini pia sio amri useme lazima kila mtu aoe/aolewe; na Kuwa ndani ya ndoa au kuwa na watoto sio ujanja na kukosa iwe ujinga! Hata kwenye vitabu vitakatifu kuna watu ambao hawakuwahi kuoa/kuolewa, kuna watu walioolewa/walioowa wasipate watoto, na wapo watu walioowa/kuolewa katika umri mkubwa pia.

Yote juu ya yote, mipango ya Mungu ni sahihi na mawazo yake ni mawazo sahihi kwetu.
Hawa watarajiwa hapa wanatukumbusha kumshukuru Mungu kwa maisha tuliyo nayo, kumwomba Mungu afanye kwa wakati wake

View attachment 1695876
Ulilazimishwa kua malaya usieolewa ? Maswali yanakuudhi kisa HAUJAOLEMA walio olewa wanaenjoy sana wanapoulizwa.
 
Ulilazimishwa kua malaya usieolewa ? Maswali yanakuudhi kisa HAUJAOLEMA walio olewa wanaenjoy sana wanapoulizwa.

Hakatazwi kuongea unachokidhania au kuambiwa sababu umeamua kukiamini bila kuchanganya na zako

Sio mbaya Kuwa na hesabu kwenye mambo tunayoongea kwani kunatupa faida kwenye majukumu tunayofanya pia
 
Ulilazimishwa kua malaya usieolewa ? Maswali yanakuudhi kisa HAUJAOLEMA walio olewa wanaenjoy sana wanapoulizwa.
Mkuu mbona unatumia lugha kali sana

Hapa watu wanashare tu mitizamo yao na namna wanavyojisikia

Take it easy
 
Mkuu mbona unatumia lugha kali sana

Hapa watu wanashare tu mitizamo yao na namna wanavyojisikia

Take it easy
Wanawake wenye vijielimu mnakera sana, mnatia sumu ndani ya jamii sasa mtu kuuliza umeolewa kosa liko wapi ?! Mada nyingine ni za kuchochea chuki baina ya wanajamii.

Na mimi sina uvumilivu na mafeminist uchwara daily mnasota kutafuta kuolewa afu mnaleta mada ya kuibua chuki manungaiyembe mnakera sana. Mbona wanawake wenzenu wanaokubali nafasi yao kama wanamake, wenye utii, hesma na adabu hatuwatolei lugha kali. LUGHA KALI NI KWA NYIE MALAYA NA NDIO MNASTAHILI MANUNGAIYEMBE badala mlee watoto mko bize mitandaoni kujibizana na wanaume.
 
Dah

Mwenyezi Mungu akujalie kauli njema na moyo wa amani
 
Dah

Mwenyezi Mungu akujalie kauli njema na moyo wa amani
Amina, anijalie kauli NJEMA kwa wanawake watiifu wenye maadili wanaokubali nafasi yao kama wanawake, ila nyie malaya, mafeminist ujinga mkafie mbele sina staha na nyie makupo ya shahawa.
 
Hakika umenena vyema...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom