Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Sio nimejitakia kuumia ..Unakuwa umejitakia tu kuumia. Yaani swali wakuulize wengine kuumia uumie wewe. Jifunze kupokea usichoweza kukibadili.
Kila unapoenda ndo uulizwe kweli
Eti ooh kwa nn bado haujaolewa .
Do you think it's right ?
Mungu ndo anayetoa baraka hizi.
Sasa Mimi nipo nasubiri wakati wa Bwana halafu unanijia eti ooh wewe endelea kuchagua.
Kuchagua nini kimfano ? yaani ukubali kuolewa haraka kisa upo desperate longing for a hubby ,
Kinachouma ni hayo maswali ambayo unaliuzwa tu out of nowhere , people have to respect others and not otherwise ..