Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Sioni kama maswli hay yanakera isipokuwa yanakera kwa sababu ya kutopenda ukweli hivi ukisema nimeolewa, nimeoa nina watoto shida iko wapi . Maana hay ni maswali yakumdairect mtu afanye nini na ndiyo maana mtu ukiongea naye na hupendi akusumbue kwa kuwa umemuona ana dalili za kukutaka kumwambi umeolewa, umeoa au unawatoto haiumizi kichwa.Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza.
Tena heri haya maswali yatoke kwa mzazi au mtu wa karibu kuliko ilivyo kawaida kwa sasa.
Watu tujue kuwa single au kuwa kwenye mahusiano ni hali tuu kama ilivyo kuwa na kitu flani au kukosa kitu kingine kwenye maisha
Waanaume akikutongoza ukakataa na sababu ikawa umeolewa hataacha kukutongoza kwa sababu ukimjib mwanaume hivo wengi wetu tunajua ww ni mwwpesi sana hujielwi umependa lkn unatoa taarifa tu kuwa niwe makini ww ni muke ya mtu.
Na wanawake wengi wapendao jibu hilo wanaliwa sana.