Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Huzijui Barabara za Tanzania wewe
 
As far as wanawakilisha nchi lazima wawe na siri nyingi za Taifa letu zihusuzo uchumi, usalama na ustawi wetu.

Tatizo langu ni moja; pamoja na siri zote hizi mbona tunazidi kuwa maskini kama nchi na tegemezi? Hizo strategic information zinatumikaje?
Nchi kama Tanzania nayo ina siri gani za maana?
 
Ingawaje kupata katiba mpya ni jambo la muhimu na lazima, lakini katiba mpya haiwezi kutatua matatizo yote ya nchi. Kila kitu katiba ni jibu, kama wasemavyo walolkole yesu ni jibu. Naona tutangaze tu, katiba ni jibu.

Hata Marekani wenye katiba nzuri, bado watu kama Trump wanapenya na kuwa maraisi. Au tutakuwa na katiba yenye kurasa maelfu, malaki na mamilioni ambayo itakuwa na kila kitu na sheria zote hata zile za kukataza kukojoa ovyo au hadharani. Yaani sasa hivi jibu la kila changa moto hata ile ya kujamba kwenye basi lilojaa abiria jibu lake ni KATIBA MPYA. Are we serious!
 
Sasa Balozi Mushi hakuwa "mtu wa kawaida" kama ulivosema
 
Kikwete leo kaongoza masishi yake huko kilimanjaro

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tangu marais waanze kustaafu sijasikia aliyekuwa anatumwa kwenye vilio, isipokuwa JMK. Kwa nini serkali isiwakilishwe na waziri, katibu mkuu au afisa ngazi ya juu wizara ya mambo ya nje? Kwa nini wanamdhalalisha mzee wa Msoga?
 
Haya ni kama mambo ya Majaliwa yale kufungua mlango wa ndege na kuokoa watu 24😆
 
Tangu marais waanze kustaafu sijasikia aliyekuwa anatumwa kwenye vilio, isipokuwa JMK. Kwa nini serkali isiwakilishwe na waziri, katibu mkuu au afisa ngazi ya juu wizara ya mambo ya nje? Kwa nini wanamdhalalisha mzee wa Msoga?
Mushi ni vijana wa JK, vijana wake aliowapika wakaiva enzi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje;

Mushi alikuwa kijana intelligent wa system enzi za JK na Lowassa, alipendwa sana... baadaye alikuja kuwa Msaidizi wa Karibu sana wa Waziri Mkuu Lowassa, baada ya Lowassa kukutana naye New York na kupenda akili zake, akamrudisha nyumbani
 
Hii umecopy kwa lemobimbaaa mpe credit🤣🤣
 
Lakini kusema na ukweli huyu meku naye alizinguaa haiwezekani Taifa likutume kuwa mwakilishi halafu wewe ukawe mbakaji!
Ukilikoroga, hakuna namna lazima ulinywe!!
Mambo ya "unajua mi ni nani" hapana peleka ughaibuni. Mwacheni alale unono!
Mwendo kaumaliza huyo...!
 
So kwamba atoroke Ulaya aje kuuliwa Bongo?? Alafu ulaya wanajikuta wana empower sana wanawake makesi mengine ya kifalaa kama haya yanaumiza watuu...
 
wapo baadhi ya mashuhuda walio shuhudia mara tu baada ya ajali kutokea na moto ulipoanza kuwaka na walimuona marehemu kabla hajateketea.

wapo baahi walio kumbuka kuchukua namba za gari kutoka kwenye vioo vya gari, maana sio kila kitu kiliteketea, na kisha kubaini mmiliki wa gari.

Hakuna utata hapo bali sisi ndio watata na tunatengeneza utata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…