Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Mimi siyo Dereva lakini kiukweli ulikuwa unajitafutia kufa wewe, unaovateki vipi mlimani au kwenye kona nakati huna uhakika kitachotokea mbele yako?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
haya maisha ya duniani ni mafupi saana ila watu tunajisahau sana haswa tunapo pata utajiri na vyeo.
yatupasa kila wakati tutende mema na tuwatendee binaadamu wenzetu mema, tuache roho mbaya na kuharibiana.
Watu wengi hudhani hapa duniani wataishi milele !! Na kwamba wanaokufa ni washamba tu hawajui mipango ya kuishi milele !!
 
Mimi siyo Dereva lakini kiukweli ulikuwa unajitafutia kufa wewe, unaovateki vipi mlimani au kwenye kona nakati huna uhakika kitachotokea mbele yako?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Staili hiyo ya kuovateki ndiyo ya madereva wengi wa kisasa wa hapa Bongo ! Ndio maana ajali nyingi huwa ni za uso kwa uso !!
 
Umeeleza vizuri,ila hapo namba 6 naomba sana ututake radhi wanakijii wa Mkata Handeni kuwa hatuna exposure,pls hiyo point ikiwezekana uifute,ina maana na yule mzee wa Msoga pale unataka kuniambia kuwa hana exposure kwasababu tu anaishi pale...😖😖
 
inawezekana jamhuri imemsaidia kufake kifo ili ionekane amekufa kukwepa kashfa ya kesi ya ubakaji huko australia.

this dude could be alive and kicking somewhere in bongoland.
Kama ulikuwemo kwenye akili zangu ! Nimewaza hivyo muda mrefu lakini nilikuwa nasita kuandika !!
 
Inaonekana huzijui barabara .hii unasema the most dangerous road? Au hujui matumizi ya hili neno?
 
Wewe ni dereva mjinga. Unataka ku-overtake bila tahadhari, ni usiku, kuna mlima na pengine kona na huoni mbele.

Acha upumbavu!
 
umasikini wa akili na uwezo Mdogo wa kuelewa wa africa huwa kila kifo kina kuwa na mkono wa mtu , tena vijijini ndui mbaya Maana wnaa Singu is wazee. Maswali yote yana majibu , Gari kubakiza plate number ajabu ni nini ikiungua. Una uhakika gani familia haikuwa imetoa taarifa kabla ya Serikali kusema kitu . Ajali zote lazima ziwe za upande mmoja na mwisho Maswali haya unajiuliza Una kosa majibu Una jifanya critical thinker
 
Du acha ukima Kima wa Maputo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…