Kwanza nchi yetu ina siri gani nzito? Tuna maabara za siri za kufanya tafiti za bioweapons? Kina operation za siri tunaendesha kwenye nchi za wenzetu kama USA UK? kuna majasusi wa kiisraeli tumewanunua ambao wanavujisha siri za Israel? Nchi yetu ina siri gani nzito?Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao.
Hata kiingie chama kinacho ongozwa na kanisa kutoka Rumi. Kikundi hicho kitakuwepo tu. Swali la msingi kinatumikaje? Tatizo la jpm na hicho kikundi kilikuwa kinakula vichwa vya raia hata wanao hoji elimu ya mtu. Sasa hapo swala la elimu ya mtu ni la kumla kichwa mtu?Walisema 'wasiojulikana' aliwaasisi JPM.
Ila kiuhalisia CCM ni ile ile ya kiuuaji bila kujali aliyeko juu,
kumbuka Dr Ulimboka kule Mabwepande.
Huu mtindo wa kutesa na kuua bila kuliondoa hili genge madarakani wananchi tutaendelea kulia.
Wenye kuamini kila kifo ni mipango ya Mungu na wale wenye kuhoji kila kifo ili wajue kisababishi ni nani critical thinkers na nani ni wapo wapo tu ??!umasikini wa akili na uwezo Mdogo wa kuelewa wa africa huwa kila kifo kina kuwa na mkono wa mtu , tena vijijini ndui mbaya Maana wnaa Singu is wazee. Maswali yote yana majibu , Gari kubakiza plate number ajabu ni nini ikiungua. Una uhakika gani familia haikuwa imetoa taarifa kabla ya Serikali kusema kitu . Ajali zote lazima ziwe za upande mmoja na mwisho Maswali haya unajiuliza Una kosa majibu Una jifanya critical thinker
Kila ndege huruka kwa mbawa zake !Kwanza nchi yetu ina siri gani nzito? Tuna maabara za siri za kufanya tafiti za bioweapons? Kina operation za siri tunaendesha kwenye nchi za wenzetu kama USA UK? kuna majasusi wa kiisraeli tumewanunua ambao wanavujisha siri za Israel? Nchi yetu ina siri gani nzito?
Kimsingi huwezi kuwa balozi kama hujapelekwa kwenye kozi za usalama wa taifa na humo ndani Kuna ngazi halafu jamaa mbona hata kawaida tu unaona alikuwa kipenyoSiri za nchi zinamsaidia nini balozi ambaye kazi yake ni diplomat na protokali zake zinajulikana? Kama siri za nchi zinavuja mpaka kwa balozi basi hizo siyo siri tena zimeshadukuliwa na wengine.
Sasa tuhuma zinakuaje na ushaidi mekuDuh! jamani kubaka tena?!
unao ushahidi kuwa anatuhuma za kubaka?
Aliitwa Kwa dharura na Mama. Baada ya hapo ndio yakatokea ya kutokea.
Kuna namna nashawishika Kuna harufu ya uBalali.
Ndio ukweli huo,Balozi yupo zake bado anakula Mtori na Mbege,Lakini hawawezi kuwahadaa wazungu
JPM hayupo ile viwavi waliokuwa kazini wakati ule wako huru zaidi kufanya watakavyo chini ya kilaza mmoja asiyejielewa.KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?
3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?
4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?
5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?
6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?
7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?
Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
Ni vizuri kuhoji,leo kwake,kesho kwako.Wanajuana wenyewe bana
Kwa hiyo ni kweli kuwa Balali yupo hai!!??
Hata kifo cha Rais wetu kilikua na maswali ya utata sana. Viongozi waliofuatia kufa baada yake nao ni hivyo hivyo, wacha tuone mpira utasimamia wapi
KumbeeKilikuwa hakina utata ni Covid 19
Kumbuka 95% ya mabalozi duniani ni manyoka...Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao.
Njama upangwa na sababu ila kwanini huyu yu hai?Kilikuwa hakina utata ni Covid 19
Sas hilo tatzo ni lako au tatzo la BARABARA?Bara bara ya Chalinze- Segera, is 'the most dangerous road' according to my experience. Bara bara hii ina miinuko na miteremko mikali.
Mwaka 2017 wakati nasafiri kwenda Tanga saa saba usiku, nimekwisha overtake roli nimefika nusu kumbe mbele kuna roli linakuja. Jamaa kunipiga full ndio naliona sasa. Kumbe mwanzo sikuliona kwa kuwa nilikuwa napanda kilima...