Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
CDM wasivyo na Long term plan saivi wame turn table na kuanza kushambulia Wafuasi wa Mwendazake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama amejipanga kufagia uvundo wote kuanzia juu hadi chini. Ifikapo 2025 wapuuzi wote watakuwa wamesafishwa kutoka kwenye system. Tunataka nchi inayotawaliwa kidemkrasia na kwa kutumia akili za kibinadamu, sio kwa kutumia akili bandia alizokuwa anatumia mwendazake.Kama SABAYA yuko kule. Bashiri na chakubanga hoi na wengine ndiyo hivyo mama itakuwa wote anawaona.
Hataki kuwapiga ki Pinda pinda tu.
Kwani MATAGA ni CDM mkuu? Mbona ume reply hii post kwa kukurupuka kama panya aliyekurupuliwa kutoka kwenye kibuyu? Tulia kwanza urudie kusoma post uelewe inaongelea nini ndipo ujibu. Usiwe kama kuku anayetafuta mahali pa kutagia anavyopiga kelele bila sababu.CDM wasivyo na Long term plan saivi wame turn table na kuanza kushambulia Wafuasi wa Mwendazake
Kiongozi wao kafariki, wafuasi wake wamebaki wanatapatapa wanataka kumkwamisha mama kwenye uongozi wake makini unaozingatia utawala bora, utu na haki za raia.Kwani viongozi wa MATAGA ni wakina nani. Mwenyekiti wao, katibu na mweka hazina . Maana kila siku wanatajwa lakini sijawahi kujua viongozi wao wala ofisi zao
ni kweli tunashukuru kwamba hatarudi milele na mileleKelele zenu za mitandaoni haziwezi kubadili chochote
😅😅😅Kuna mwana tar 30 October 2020 nilimwambia kwa Dhambi alizodanya Jiwe hatamaliza mwaka atakufa. Alikuwa kada wa ccm alitamani anitir mikononi mwa Sabaya. Alivyodanja mwezi machi nikamkumbusha.Tutakufa wote ndio lakini Biblia inasema siku zao watendao maovu zitafupishwa. Na watenda dhambi kwao ni motoni ndio maana tuna uhakika mwenda kuzimu yupo mikoni salama huko aliko akiteswa.
Kachanganyikiwa 🤣🤣Kwani MATAGA ni CDM mkuu? Mbona ume reply hii post kwa kukurupuka kama panya aliyekurupuliwa kutoka kwenye kibuyu? Tulia kwanza urudie kusoma post uelewe inaongelea nini ndipo ujibu. Usiwe kama kuku anayetafuta mahali pa kutagia anavyopiga kelele bila sababu.
Umeona eeh? Unajua ni bora ufanye maovu kwa kumtanguliza shetani kuliko kumtanguliza Mungu. Hiki ndicho kilichomponza Mwendazake na ndicho kinachoendelea kuwaponza wafuasi wake aliowaacha hapa duniani kama Sabaya na genge lote la kigaidi aliloliacha duniani.😅😅😅Kuna mwana tar 30 October 2020 nilimwambia kwa Dhambi alizodanya Jiwe hatamaliza mwaka atakufa. Alikuwa kada wa ccm alitamani anitir mikononi mwa Sabaya. Alivyodanja mwezi machi nikamkumbusha.
Watu wanafanya maovu ila Jiwe alizidi huku akikufuru kwamba anamtumikia Mungu
Kweli mkuu lakini kupe au funza akishaingia mwilini kufyonza damu wakati wa kumtoa bila kutumia ukali hawezi kutoka kamwe. Ngoja kwanza mama awatoe hawa funza (jigger) mwilini kwa nguvu ndipo aanze kuijenga nchi kwa utaratibu maana bila kuwang'oa hawa funza watamsumbua sana.Hiyo aya ya mwisho sio nzuri kwani akiifanyia kazi, ataacha legacy mbaya kama ya Mwendazake.
Awatoe tu kwenye system kisha aachanenao.
yeye haoni akina Pk na M7 huwezi kuwasikia wakimtaja MunguUmeona eeh? Unajua ni bora ufanye maovu kwa kumtanguliza shetani kuliko kumtanguliza Mungu. Hiki ndicho kilichomponza Mwendazake na ndicho kinachoendelea kuwaponza wafuasi wake aliowaacha hapa duniani kama Sabaya na genge lote la kigaidi aliloliacha duniani.
Hauwezi kuondoa injini halafu utegemee gari liwake na kuondoka, labda livutwe!Ndio ameishaanza kusafisha chawa mmoja baada ya mwingine hadi waishe kabisa.
Basi huijui CCM wewe. Hata JK alifikiri anaijua CCM 2005, lakini ilipofika 2015 alikuwa hoi. JPM ndio akawa mnusuru wake na CCM kwa ujumla. Kama Mama atafuata ushauri wako; sawa. Tukutane 2025.Hapana mkuu. MATAGA sio injini bali ni sawa na magugu yanayopaswa kuondolewa shambani ili upate mavuno bora.
Sasa hiyo 2025 inakujaje mkuu kwani hapa tunafanya kampeni? Haya ndiyo matatizo ya vijana wa siku hizi. Mtu anaongea FACTS wewe unaleta SIASA. Ni shida!Basi huijui CCM wewe. Hata JK alifikiri anaijua CCM 2005, lakini ilipofika 2015 alikuwa hoi. JPM ndio akawa mnusuru wake na CCM kwa ujumla. Kama Mama atafuata ushauri wako; sawa. Tukutane 2025.
Kafanya mambo gani wewe acha porojo, utasema kajenga uwanja wa ndege chato, mataga buana!Mkuu Hawa wanaobeza mchango wa JPM kwenye hili Taifa sio watu wakuendelea kubishana nao labda sio Watanzania mzee wetu ametufanyia Mambo mengi Sana kwa muda mfupi wa uongozi wake .
Which 'facts' are you talking about? By the way, do you really know the meaning of the word 'facts'? Ahahahahahahahahahah!!!!!Sasa hiyo 2025 inakujaje mkuu kwani hapa tunafanya kampeni? Haya ndiyo matatizo ya vijana wa siku hizi. Mtu anaongea FACTS wewe unaleta SIASA. Ni shida!