Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Ila wakenya bana tangu wajibiwe wajifute umaskini wao imewauma sana
🤣🤣🤣🤣🤣
💕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wakenya bana tangu wajibiwe wajifute umaskini wao imewauma sana
Eti Tanzania tu, unachekesha. Wakati wa utawala wa mwendazake na figisu zake dhidi ya Kenya, GOK ilikuwa inanunua mahindi Brazil na Mexico. Tena kwa bei nafuu na ya chini zaidi, licha ya gharama zote za usafiri.Ni kama Kenya inavyotegemea Mahindi toka Tanzania tu. Kwahiyo Kenya hana la kufurahia yaani sisi tukiumia kwa chakula Kenya wanakufa kwa njaa.
Ni sawa na baba yako anapambana na jirani haihitaji kujua unasimama upande gani. Maana kuumua kwake ni kilio chako
Ila wakenya bana tangu wajibiwe wajifute umaskini wao imewauma sana
FAKE NEWS. Hakuna sehemu yeyote ile ambapo Putin au FM wake aliitaja wala kuijibu Kenya. Kwenye dunia ya sasa kama haupo makini au hujui kufanya 'verification' ya 'habari' unazozipata mitandaoni utabaki kulishwa upumbavu mwingi sana.Putin si alishawaambia nyie mpambane na njaa kabla ya kuhoji maswala ya Urusi. 10 Million Kenyans are facing starvation pambaneni na hilo kwanza.
Tanzania ni taifa lisilofungamana na upande wowote toka enzi uliza uambiwe! Hiyo ngano tunanunua hatupewi bure! Ndiyo maana imeandikwa IMPORTS na haijaandikwa msaada! Nyie hamna hela ya kununua tulieni!Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa kuisema vibaya yangefungiwa.....
===========================
The war in Ukraine is endangering crucial wheat supplies in many of the least developed countries in the world. Among them, countries in Africa and the Middle East in particular are heavily dependent on wheat imports from Russia and Ukraine. According to the UN Comtrade database, Benin and Somalia obtained all of their wheat from Ukraine and/or Russia. The dependency of Egypt stood at 82 percent, according to the data.
![]()
![]()
Infographic: The Most Vulnerable Countries Amid Wheat Shortages
This chart shows countries among the world's least developed which are most dependent on wheat imports from Russia and Ukraine (2020).www.statista.com
Kabla ya kuonesha unafiki huu wa kujifanya unawahurumia Ukraine, kwanini usianze kuwahurumia waafrika wenzio wanaoteseka kule Kongo na kwingineko? Hata hapo Kenya kuna watu wanaoteseka na Alshabab shughulika na hao kwanza kuliko kujidai unaonea huruma walio mbali!FAKE NEWS. Hakuna sehemu yeyote ile ambapo Putin au FM wake aliitaja wala kuijibu Kenya. Kwenye dunia ya sasa kama haupo makini au hujui kufanya 'verification' ya 'habari' unazozipata mitandaoni utabaki kulishwa upumbavu mwingi sana.
Nilishangazwa sana na waliokuwa wanamponda balozi Martin Kimani. Alipokuwa anahubiri amani kule NY na kusisitiza kwamba mgogoro huo unaweza ukasuluhishwa kwa njia zingine. Baadhi yenu mlikuwa mnashabikia maafa kule Ukraine, ungedhani ni yale mambo yenu ya Yanga-Simba. Wakati wengi wenu hamjaguswa maishani mwenu hata na vurugu tu za kawaida, achia bali vita.
Yaani unapata jitu linaruka ruka na kushangilia vifo vya hadi kina mama na watoto. Wakati hata mlio tu wa tairi la gari likipasuka umetosha kumfanya azamie mvunguni mwa kitanda. Uswahili buana. 😄
Ndugu yangu, mimi binafsi sijaunga mkono, hata siku moja dhulma dhidi ya binadamu mwenzangu. Iwe ni dhulma dhidi ya upinzani kutoka kwa serikali ambayo nilichangia kuiingiza madarakani. Au dhulma ya aina yeyote ile, hata kati ya watu binafsi.Kabla ya kuonesha unafiki huu wa kujifanya unawahurumia Ukraine, kwanini usianze kuwahurumia waafrika wenzio wanaoteseka kule Kongo na kwingineko? Hata hapo Kenya kuna watu wanaoteseka na Alshabab shughulika na hao kwanza kuliko kujidai unaonea huruma walio mbali!
Tanzania ni taifa lisilofungamana na upande wowote toka enzi uliza uambiwe! Hiyo ngano tunanunua hatupewi bure! Ndiyo maana imeandikwa IMPORTS na haijaandikwa msaada! Nyie hamna hela ya kununua tulieni!
Vipi nyie mnaojipendekeza upande wa Ukraine (Marekani), msimamo wenu ni upi? kuna mnachohongwa na Marekani bila shaka! Hebu tutajie kabla hatujakitaja!
Kenya mnashida sana! Nyie ni wa kuonewa huruma sana!
Kwa faida yako, Marekani ni ya wamarekani na Kenya ni Kenya! Obama aliposhika urais wa Marekani mlitegemea misaada toka Marekani lakini kuna chochote mlichopata? Mnatuaibisha bwana! Fanyeni kazi acheni kujipendekeza!!
Hata mjipendekeze vipi, Marekani ni ya wamarekani na mtabaki kujipendekeza bila kupata faida yoyote! Poleni!
Zamani za ujinga nilijua wakenya wote wanajua kiingeleza kumbe kuna maskini wengine bure kabisa!!! Sihitaji mtu anitafsirie, taarifa ipo wazi!Taarifa zinaongea kuhusu mataifa maskini wa kutupwa duniani wanaoitegemea Urusi, tafuta mtu akutafsirie.
Kwa namna unavyoongea, nakuona ni mtu uliyepigwa marungu kwa tamaa za uongozi! Nakuhakikishia hata ukipewa uongozi leo hii, yale wanayoyafanya viongozi wako leo hii, utayafanya! Ubinfsi ni asili ya wanadamu wote! Hebu niambie ukweli, sema ukweli, je, taarifa aliyotuma mwenzio hapo MK254 imesema alichotafsiri?? Naomba tuanzie hapo!Ndugu yangu, mimi binafsi sijaunga mkono, hata siku moja dhulma dhidi ya binadamu mwenzangu. Iwe ni dhulma dhidi ya upinzani kutoka kwa serikali ambayo nilichangia kuiingiza madarakani. Au dhulma ya aina yeyote ile, hata kati ya watu binafsi.
Nimekung'utwa rungu mimi na kulishwa vitoa machozi, nikiandamana na waislamu dhidi ya serikali ambayo ilikuwa inawakamata vijana kiholela holela, bila kuzingatia sheria. Wengi wenu ni mabendera fuata upepo tu. Hamna jambo lolote la maana duniani, ambalo mmelisimamia kwa haki na mkawa tayari kupambana, liwe liwalo.
Pale kwenye kikao cha kamati ya usalama UN(UNSC) Kenya ndio inawakilisha bara la Africa kwa sasa. Kwenye mkutano huo wa dharula kila nchi, ambayo ipo kwenye kamati hiyo, ilipewa muda wa kuwasilisha hotuba na maoni yake.
Balozi Martin Kimani alitoa maoni yake kulingana na maudhui ya kikao hicho cha dharula. Kama ulimsikiza vizuri aliwaponda wote hao mnaopenda kuwaita mabeberu. Kwasababu ya uhusika wao kwenye migogoro tofauti duniani. Kisha baada ya kusema wazi kwamba madai ya Urusi yanaweza kuwa halali. Akamaliza kidiplomasia kwa kuwarai wote ambao walikuwa wanahusika kwenye mgogoro huo watumie mbinu zingine kutatua tofauti zao. Kwamba waipe amani kipaumbele badala ya vita. Historia itamkumbuka yeye na Kenya milele kwa ujasiri wake huo. Ila nyie makajamba na ushabiki wenu hata Urusi wenyewe hawawatambui.
Leo hii aliyoyasema balozi Martin Kimani yametimia. Baada ya Urusi kuona kwamba mambo yao hayaendi sawa kama walivodhania. Sasa hivi Urusi wanaketi kwenye vikao na waliyemuita adui namba moja. Wakijaribu kutafuta pa kupenyezea, kupitia makubaliano. Ili wapunguze hasara na aibu, ambazo walijitakia wenyewe kwa ubabe wao wa kipumbavu.
Huo ndio ukweli mkuu, mahitaji ya ngano kwa Tz, kwa mwaka ni tani 1.2 milioni, lakini uzalizaji wa ndani ni kama tani laki 1, moja tu!!ni kelele tu za wanasiasa, hakuna lolote!!Hii ni habari mpya kwangu.
Basi kama ni hivi TANZANIA SAFARI BADO NI NDEFU.
Kinachoendelea sasa hivi ni siasa maji machafu! Siasa zetu katika Afrika zimetushinda, zimeshindwa kuondoa magonjwa katika Afrika, zimeshindwa kuondoa migogoro katika Afrika, zimeshindwa kuondoa njaa katika Afrika na zimeshindwa kuondoa matatizo kedekede (rushwa, ufisadi nk) kilichobaki ni kujifanya tunajua sana kutatua migogoro ya mataifa ya nje!!! Hiki ni kichekesho cha karne! Nadhani haya yanaweza kuwa maajabu ya nane ya dunia! Ngoja tuone!Ndugu yangu, mimi binafsi sijaunga mkono, hata siku moja dhulma dhidi ya binadamu mwenzangu. Iwe ni dhulma dhidi ya upinzani kutoka kwa serikali ambayo nilichangia kuiingiza madarakani. Au dhulma ya aina yeyote ile, hata kati ya watu binafsi.
Nimekung'utwa rungu mimi na kulishwa vitoa machozi, nikiandamana na waislamu dhidi ya serikali ambayo ilikuwa inawakamata vijana kiholela holela, bila kuzingatia sheria. Wengi wenu ni mabendera fuata upepo tu. Hamna jambo lolote la maana duniani, ambalo mmelisimamia kwa haki na mkawa tayari kupambana, liwe liwalo.
Pale kwenye kikao cha kamati ya usalama UN(UNSC) Kenya ndio inawakilisha bara la Africa kwa sasa. Kwenye mkutano huo wa dharula kila nchi, ambayo ipo kwenye kamati hiyo, ilipewa muda wa kuwasilisha hotuba na maoni yake.
Balozi Martin Kimani alitoa maoni yake kulingana na maudhui ya kikao hicho cha dharula. Kama ulimsikiza vizuri aliwaponda wote hao mnaopenda kuwaita mabeberu. Kwasababu ya uhusika wao kwenye migogoro tofauti duniani. Kisha baada ya kusema wazi kwamba madai ya Urusi yanaweza kuwa halali. Akamaliza kidiplomasia kwa kuwarai wote ambao walikuwa wanahusika kwenye mgogoro huo watumie mbinu zingine kutatua tofauti zao. Kwamba waipe amani kipaumbele badala ya vita. Historia itamkumbuka yeye na Kenya milele kwa ujasiri wake huo. Ila nyie makajamba na ushabiki wenu hata Urusi wenyewe hawawatambui.
Leo hii aliyoyasema balozi Martin Kimani yametimia. Baada ya Urusi kuona kwamba mambo yao hayaendi sawa kama walivodhania. Sasa hivi Urusi wanaketi kwenye vikao na waliyemuita adui namba moja. Wakijaribu kutafuta pa kupenyezea, kupitia makubaliano. Ili wapunguze hasara na aibu, ambazo walijitakia wenyewe kwa ubabe wao wa kipumbavu.
Wewe ndiyo umesema siyo wao sababu taarifa yao haijasema tunapata ngano kwa msaada! Kwani ku import bidhaa toka nje ni kupewa msaada? Umeongea kana kwamba tunapewa misaada ili kutufunga mdomo kuikemea Urusi kwa operation anayoifanya Ukraine! Je, hicho ndicho kilichoongelewa kwenye hiyo taarifa???Sio sisi tumesema, wamesema wao, hasira zako elekeza kwa hao waliosema.
Sina huo muda wa kujadili watu, badala ya kujadili mada.Kwa namna unavyoongea, nakuona ni mtu uliyepigwa marungu kwa tamaa za uongozi! Nakuhakikishia hata ukipewa uongozi leo hii, yale wanayoyafanya viongozi wako leo hii, utayafanya! Ubinfsi ni asili ya wanadamu wote! Hebu niambie ukweli, sema ukweli, je, taarifa aliyotuma mwenzio hapo MK254 imesema alichotafsiri?? Naomba tuanzie hapo!
Umeeleweka!Sina huo muda wa kujadili watu, badala ya kujadili mada.